Kwa sababu zilizo wazi, unapaswa kutumia jina la msanii/bendi ambalo halipo katika huduma za utiririshaji. Kuwa na wasanii kadhaa wenye jina sawa husababisha kila aina ya mkanganyiko. Hebu fikiria kama pangekuwa na Led Zeppelins wawili, au Dave Matthews wawili (jina la kawaida bila shaka).
Lakini wakati mwingine jambo hili haliwezi kuepukika. Haya ni maswali makuu ambayo watu huuliza wakati kunapokuwa na msanii mwingine mwenye jina sawa na wao.
Je, nitalipwa? Au, huyo mtu mwenye jina sawa na mimi atalipwa kwa vipakuliwa vyangu?
Utalipwa kwa vipakuliwa vyako. Kiteknolojia, majina ya wasanii hayategemei kabisa ufuatiliaji wa mapato. Hivyo basi, wote mpo vizuri na hakuna cha kuhofia.
Albamu zangu zinaorodheshwa sambamba na albamu za wasanii wengine. Kwa hivyo inaonekana kama sisi ni mtu mmoja. Je, unaweza kuzitenganisha?
Wakati mwingine majukwaa ya kutiririsha muziki huwaweka pamoja wasanii walio na majina sawa (au yanayofanana), au huunda ukurasa mpya wa msanii badala ya kutumia ukurasa wako uliopo. Tunaweza kusaidia!
Tafadhali tembelea https://www.distrokid.com/fixer, ambapo tutakusaidia katika ufanyaji wa marekebisho husika!
Kwa hakika, ikiwa mtu tayari ana jina, unapaswa kuja na jina tofauti. Katika ulimwengu wa waigizaji, kwa mfano, hakuna waigizaji wawili wanaoruhusiwa kuwa na jina moja na wote wakiwa kwenye Chama cha Waigizaji, yaani SAG. Ndiyo maana Samuel L. Jackson ni Samuel L. Jackson, na sio Sam Jackson au Samuel Jackson -- majina hayo tayari yamechukuliwa. Ikiwa unataka kuonekana mwenye weledi, vumilia na upate jina tofauti ikiwa lako tayari limechukuliwa.

Sign Up