Iwapo tayari umetoa rasmi albamu yako, hata kama kwa toleo halisi, mathalani CD, tafadhali bainisha tarehe ya awali ya kutolewa katika sehemu ya juu ya fomu ya kupakia.
Hii inajumuisha matoleo mbalimbali ya albamu iliyotolewa awali (iliyofanyiwa mastering upya, kutolewa tena, deluxe, n.k.)
Kama ulirekodi upya albamu, hata hivyo, basi haihesabiki kama albamu iliyotolewa hapo awali.
Sign Up