CapCut ni programu ya kuhariri video bila malipo na inayojitosheleza kwa kila mtu kuunda chochote mahali popote. Watumiaji wa CapCut wanaweza kuunda video kwa kutumia zana za aina mbalimbali za kuhariri wa video. Sawa na TikTok, CapCut huwaruhusu watumiaji wachague sauti za kutumia katika video. Wanamuziki hupata mirabaha wakati muziki wao unapotumiwa katika video za CapCut.
Sign Up