Bandzoogle ni jukwaa la DistroKid la kushirikiana moja kwa moja na mashabiki. Ni nyenzo jumla kwa wasanii ambapo unaweza:
- Tengeneza tovuti bila mahitaji ya ujuzi wa kutengeneza programu, kwa kutumia violezo vingi vinavyoweza kufanyiwa mabadiliko kikamilifu
- Weka wasifu wako, muziki na picha pamoja ili kuunda EPK (Electronic Press Kit)
- Uza bidhaa ukitumia huduma za kuchapisha bila hitaji la kuwekeza chochote kwanza
- Toa upakuaji wa muziki moja kwa moja
- Sajili kikoa maalum cha mtandao
- Kuza idadi ya mashabiki wako kwa kutumia zana za kutuma barua pepe zilizojengwa ndani ya mfumo
Na zaidi! Sawa na DistroKid, Bandzoogle huwa haichukui makato kwa mauzo yako. Kwa hivyo unapata 100% ya mapato yako unapouza muziki, bidhaa, au tiketi kwa mashabiki wako.
Bandzoogle ni huduma ya kujisajili, yenye mipango inayoanzia $6.37 tu kwa mwezi.
Sign Up