Kwa sasa DistroKid haisambazi podikasti. Utahitaji kutumia huduma ya kati inayojishughulisha na kusambaza podikasti ikiwa unataka kupakia kwenye huduma za kutiririsha.
Hii hapa ni orodha ya Spotify ya huduma za kati za podikasiti zinazopendekezwa: https://artists.spotify.com/help/article/getting-your-podcast-on-spotify
Unaweza pia kuweka podikasiti yako kwenye Anghami kwa kutembelea anghami.com/podcasters na kufuata hatua hapa: https://support.anghami.com/hc/en-us/articles/1260806765729-How-to-publish-my-Podcasts-on-Anghami.
Sign Up