• Singo, EP na albamu: ni aina ipi unapaswa kutoa kwenye DistroKid?

    Huduma za kutiririsha zinaainisha toleo lako kiotomatiki kulingana na idadi ya nyimbo na urefu wake.Ufafanuzi ndio huu hapa: Singo:nyimbo 1–3, kila moja chini ya dakika 10. EP:jumla ya muda usiozidi dakika 30 au nyimbo 1–3 huku angalau wimbo mmoja ukiwa na urefu wa dakika 10 au zaidi, na bado jumla ya muda usizidi dakika 30. Albamu:nyimbo 7 au zaidi. Aina zote tatu zinapakiwa kwa njia ileile kwenye DistroKid.Unataka maelezo zaidi? Haya hapa maelezo kwa kinaJinsi ya kupakia kila aina ya toleo kwenye DistroKid Kupakia wimbo kwa DistroKid ni rahisi na mchakato ni ule ule kwa kila aina. K...

    Full article…
  • Je, DistroKid wanaweza kuwasilisha kazi zangu kwa MassiveMusic?

    Ndiyo!MassiveMusic wamekuwa kinara wa soko katika usambazaji wa muziki kwa zaidi ya miongo miwili. Miundombinu yao huwezesha muziki kwenye majukwaa maarufu zaidi ya kutiririsha kidijitali duniani, mitandao ya kijamii, watoa huduma za sauti katika kumbi halisi, na mengineyo.Itazame MassiveMusic kama miundombinu ya kusambaza. Wateja wao ni huduma ambazo wasikilizaji wako hutumia. DistroKid ina mikataba na wateja hawa wa MassiveMusic: Coda Vocana Mood Media Singa Turntable / Hangout AMI Jinsi ya kuwasilisha muziki wako kwenye MassiveMusicIli kuwasilisha muziki wako kwa MassiveMusic, ichague mo...

    Full article…
  • Hur DistroKid intäktsgenererar din musik i Spotify AGC- och CGC-videor

    Spotifys Artist Generated Content (AGC) och Creator Generated Content (CGC) är två typer av videoinnehåll på Spotify. De låter artister och kreatörer ladda upp videor direkt till Spotify, och DistroKid gör anspråk på och genererar intäkter från din musik i den videon automatiskt, på samma sätt som YouTube Content ID fungerar.AGC vs. CGC: vad är skillnaden? AGC (Artistgenererat innehåll) CGC (Skapargenererat innehåll) Vem laddar upp Artister (och deras team), via Spotify For Artists. Kreatörer, via Spotify for Creators. Vad som är tillåtet Musikcentrerade enspårsvideor: liveuppträdand...

    Full article…
  • Inachukua Muda Gani kwa Muziki Wangu Kupatikana Kwenye Huduma za Utiririshaji?

    Inaweza kuchukua siku kadhaa kwa albamu kukaguliwa, kuidhinishwa na kutumwa kwa huduma za utiririshaji.Baada ya hatua hiyo, toleo lako linapaswa kwenda hewani mara linapoingizwa kwenye huduma za utiririshaji kulingana na makadirio yaliyo hapa chini: iTunes/Apple Music: Siku 1-7. Asilimia ndogo sana ya albamu hukaguliwa kwa mikono pale Apple, jambo ambalo linaweza kuchukua takriban wiki 1-2. Spotify: siku 2-5 Amazon: siku 1-2 YouTube Music: siku 1-3 Deezer: siku 1-2 TIDAL: siku 2 Facebook/Instagram: wiki 1-2 TikTok: siku 1-2 Anghami: siku 1-5 (baadhi zinahitaji ukaguzi unaofanywa na watu ha...

    Full article…
  • Kupakia Nyimbo za Kava kwa DistroKid

    DistroKid inarahisisha kusambaza nyimbo zako za kava! Tutashughulikia kila kitu kwa niaba yako, ikiwemo kutuma malipo kwa watunzi wa nyimbo na kushughulikia mahitaji yote ya ziada ya kisheria. Suluhisho hili la kutoa leseni za kava linamaanisha DistroKid itachukua leseni kwa niaba yako kupitia mchuuzi mwingine. Leseni za kimakanika za lazima za DistroKid zinalindwa na Harry Fox Agency ("HFA"). Kulingana na sheria ya hakimiliki ya Marekani, leseni za nyimbo za kava hutoa ulinzi wa kisheria ikiwa wimbo halisi tayari umetolewa Marekani, na vipengele vikuu vya wimbo asilia (mistari asilia ya wi...

    Full article…
  • Je, Naweza Kupakia Nyimbo Zisizolindwa na Sheria ya Hakimiliki (Miliki Ya Umma)?

    Wimbo wowote au kazi ya muziki iliyochapishwa mwaka wa 1929 au kabla ipo katika miliki ya umma nchini Marekani. Hakuna shida yoyote ukipakia mpangilio wako wa wimbo ulio kwenye miliki ya umma mradi tu hakuna hakimiliki iliyopo kwenye kazi asili au mpangilio unaoushughulikia, lakini miliki ya umma inaweza kuwa tata. Nyimbo zilizo kwenye miliki ya umma haimaanishi kuwa hazina ulinzi wowote wa hakimiliki. Ingawa muziki asili ulioandikwa haulindwi tena na hakimiliki wakati wimbo unapokuwa kwenye miliki ya umma, bado kuna hakimiliki zinazotumika kwa rekodi husika na masuala mengine. Hakuna reko...

    Full article…
  • DistroKid inaweza kuweka muziki wangu katika Coda Music?

    DistroKid haisambazi kwa Coda Music kwa sasa, lakini tunaishughulikia! Endelea kufuatilia hapa ili upate kujulishwa kuhusu jinsi ya kuwasilisha nyimbo zako kwenye Coda Music.

    Full article…
  • Je, Ninaweza Kupakia Muziki Uliotengenezwa kwa Nyenzo za AI kwenye DistroKid?

    Ndiyo—DistroKid inakubali muziki ulioundwa kutumia nyenzo za AI, lakini kuna sheria kadhaa.Muziki wote unaopakiwa kwenye DistroKid lazima uzingatie miongozo ya maudhui ya huduma za kutiririsha, uwe umeundwa kwa nyenzo za AI au la.Hiyo inamaanisha:Lazima umiliki haki. Ni lazima umiliki 100% ya haki, ikiwa ni pamoja na haki ya kisheria ya kusambaza muziki ulioundwa kwa nyenzo zozote za AI, sampuli, mistari, n.k.Hakuna kuiga mtu mwingine. Muziki wako haufai kuiga au kufananisha sauti, staili au utambulisho wa mtu mwingine bila ruhusa.Hakuna barua taka iliyotengenezwa kwa wingi. Muziki ulioundw...

    Full article…
  • Nchi Ambazo Muziki Wako Utapatikana

    Nyimbo nyingi zinazopakiwa DistroKid huonekana kwa kila nchi ambayo inakubali huduma za utiririshaji tunazozisambazia nyimbo. Kumbuka kwamba baadhi ya huduma zinaruhusu tu watumiaji kutoka eneo la jukwaa hilo kuona katalogi yao yote ya muziki, na kuonesha sehemu tu ya katalogi iwapo inafikiwa kutoka nje ya eneo hilo. Baadhi ya matoleo yanaweza yasisambazwe kwa nchi zote kutokana na lugha, maudhui chafu, utoaji leseni na masuala mengine mbalimbali ambayo yako nje ya uwezo wa DistroKid. Kwa maelezo zaidi, angalia makala haya: https://support.distrokid.com/hc/sw/articles/40475055020307. Ikiwa ...

    Full article…
  • Kupakia Muziki wa Ala kwenye DistroKid

    Inawezekana kupakia na kusambaza muziki wa ala kupitia DistroKid ili mradi tu una haki zote za kuzalisha tena na kusambaza muziki unaopakia.Ili kuashiria wimbo kama wa ala za muziki kwenye fomu ya kupakia, chagua "Wimbo huu ni wa ala za muziki na hauna mistari" chini ya sehemu ya "Muziki wa ala?".Tafadhali kumbuka kwamba bado utahitaji kuchagua lugha kwa ajili ya toleo, hata kama lina nyimbo zote za ala. Unaweza kuchagua lugha yoyote unayotaka kwa hili.

    Full article…
  • Katalogi za Muziki Kutegemea Maeneo

    Baadhi ya huduma ambazo DistroKid inasambazia zinaruhusu tu watumiaji kutoka eneo la jukwaa hilo kuona katalogi yao yote ya muziki, na kuonyesha sehemu tu ya katalogi iwapo inafikiwa kutoka nje ya eneo hilo. Ukitafuta toleo lako kwenye mojawapo ya majukwaa haya na usilione kwenye matokeo unapotafuta, inaweza kuwa ni kwa sababu ya kizuizi hiki. Huduma Zenye Katalogi Chache Kutegemea MaeneoHapa kuna orodha ya huduma zinazotoa katalogi chache ikiwa zinafikiwa kutoka nje ya eneo mahususi, na eneo linaloruhusiwa kuona katalogi kamili:Saavn: India, Pakistan, Nepal, Sri Lanka na Bhutan.Anghami: Ma...

    Full article…
  • Kupakia Mix za DJs au Remix kwenye DistroKid

    Ikiwa unapanga kupakia DJ mix au remix ya wimbo kwa DistroKid, tafadhali kumbuka kuwa utahitaji ruhusa kufanya hivyo kutoka kwa wahusika wote. Haiwezekani kupakia nyimbo zenye sampuli ambazo hazijatolewa idhini. Unakaribishwa kupakia remix za kazi zako mwenyewe, iwe umefanya remix mwenyewe au imefanywa na msanii mwingine wa kufanya remix. Hata hivyo, endapo remix yako ni ya wimbo wa msanii mwingine au ina sehemu yoyote ya muziki asili wa msanii mwingine, huduma za kutiririsha zitahitaji ruhusa kutoka kwa msanii asili.   Kupakia Remix ya Wimbo Wako Mwenyewe Ikiwa unapakia remix ya wimbo wak...

    Full article…
  • Je, Naweza Kupakia Sound-a-like?

    Hapana, samahani. Sound-a-likes--au matoleo ya kava, au nyimbo za heshima ambazo husikika sawa na za msanii mwingine--hazikubaliwi na huduma za utiririshaji. Huduma za utiririshaji zinaweza pia kukataa nyimbo za kava ambazo zinaiga kwa karibu sana jina la msanii asili au mchoro wa albamu. Hata kama maudhui hayakiuki sheria, yanaweza kuwachanganya wateja. Ndio maana huduma zinaweza kukataa.

    Full article…
  • Je, DistroKid Inasambaza Vitabu vya Sauti kwenye Huduma za Utiririshaji?

    Hapana. DistroKid inasambaza muziki tu.

    Full article…
  • Je, Naweza Kutumia DistroKid Kuuza Sauti Za Simu?

    Hapana. DistroKid inasambaza albamu na singo tu.

    Full article…
  • Je, Ninaweza Kutumia DistroKid Kutoa Muziki Wangu Bila Malipo?

    Hakuna namna DistroKid inaweza kuuza muziki wako bila malipo katika maduka ya mtandaoni na huduma za kutiririsha kama vile iTunes. Kila toleo tunalowasilisha kwenye maduka linahitaji bei ya kuuzia, na haiwezi kuwa sufuri. Kwa maelezo zaidi kuhusu kuweka bei kwa toleo lako katika huduma zinazouza muziki wako, pitia makala haya: https://support.distrokid.com/hc/sw/articles/360013648413.   Kutoa Muziki Wako Nje ya DistroKid Ikiwa ungependa kufanya muziki wako upatikane bila malipo kwa umma kwa jumla, huenda ukataka kujaribu Bandcamp. Ikiwa ungependa kupeana muziki wako bila malipo kwa watu ka...

    Full article…
  • Je, Naweza Kupakia Albamu ya Mkusanyiko wa Nyimbo, toleo la 'Wasanii Mbalimbali', au toleo la 'Split' (yaani toleo lenye nyimbo kadhaa kwa kila msanii) kupitia DistroKid?

    Kwa sasa, DistroKid haisambazi matoleo ya mkusanyiko (compilation releases) au matoleo ya "wasanii mbalimbali", wala hatuwezi kusambaza matoleo ya "split". Kwa sasa, tunaweza tu kuwasilisha maudhui ambapo wasanii wanaopakia wanaorodhesha wasanii wakuu 1-4 kwa kila toleo, na angalau msanii mmoja miongoni mwa hao wasanii wakuu huonekana kwenye kila wimbo ndani ya toleo husika.

    Full article…
  • Je, Naweza Kupakia Podikasti kwenye DistroKid?

    Kwa sasa DistroKid haisambazi podikasti. Utahitaji kutumia huduma ya kati inayojishughulisha na kusambaza podikasti ikiwa unataka kupakia kwenye huduma za kutiririsha. Hii hapa ni orodha ya Spotify ya huduma za kati za podikasiti zinazopendekezwa: https://artists.spotify.com/help/article/getting-your-podcast-on-spotify Unaweza pia kuweka podikasiti yako kwenye Anghami kwa kutembelea anghami.com/podcasters na kufuata hatua hapa: https://support.anghami.com/hc/en-us/articles/1260806765729-How-to-publish-my-Podcasts-on-Anghami.

    Full article…
  • Je, Naweza kupakia ASMR, Kelele (White Noise), au Taamuli (Guided Meditation)?

    Haiwezekani kwa DistroKid kusambaza muziki unaokisiwa kama ASMR, Kelele (White Noise), au Taamuli (Guided Meditation). DistroKid ni ya wanamuziki solo, bendi, ma DJ, watumbuizaji na watayarishaji wanaorekodi muziki nyumbani au studioni. Unaweza kujaribu msambazaji mwingine ikiwa unatarajia kutoa kitu kinachohusiana na ASMR, Kelele (White Noise), au Taamuli (Guided Meditation). DistroKid pia haiwezi kusambaza sauti ambayo ni sanaa ya kuongea (Spoken Word), kama hotuba au kitabu cha sauti. Tunaweka sanaa ya kuongea kama aina ya muziki kwa wasanii wanaopakia muziki ambapo mtindo wa sauti ni 'k...

    Full article…
  • Kusambaza Muziki wa Classical Kupitia DistroKid

    Unaweza kusambaza muziki wa aina ya Classical kupitia DistroKid. Hata hivyo, tafadhali kumbuka kuwa DistroKid haiwasilishi matoleo ya Classical kwa iTunes/Apple Music kwa sasa. Maduka na huduma zingine zote bado zitapokea maudhui ya Classical. Tafadhali kumbuka kuwa kutambuliwa kwa mtunzi wa wimbo kutaonekana kama watumbuizaji (wasanii wakuu) kwenye matoleo ya aina ya Classical. Hili si jambo ambalo DistroKid inaweza kudhibiti kivyovyote, kwani muundo huu unashughulikiwa na huduma nyingine, na si DistroKid.

    Full article…
  • Je, Naweza Kupakia Albamu ya Vichekesho?

    Ndiyo!Matoleo ya vichekesho kama hii ni sawa.Hakikisha tu unachagua "Vichekesho" kama aina ya msingi kwenye fomu ya kupakia. { "@context": "https://schema.org", "@type": "Article", "headline": "Can I Upload a Comedy Album?", "description": "Yes — you can upload a comedy album to DistroKid. Just select Comedy as the primary genre when uploading.", "mainEntityOfPage": { "@type": "WebPage", "@id": "https://support.distrokid.com/hc/en-us/articles/360024511434" }, "publisher": ...

    Full article…
  • Je, Nahitajika Kulipa Leseni ya Kava Nikipakia Wimbo wa Mzaha?

    Nyimbo za mzaha zina mahitaji maalum kuonekana zinazingatia Matumizi ya Haki, ambayo hayatahitaji leseni ya kava. Unapopakia wimbo wa mzaha kwa DistroKid, utahitaji kuhakikisha kuwa ni wimbo wa mzaha, na sio wimbo wa kava au kazi zinazozalishwa kutoka na kazi asili. Ingawa ni mahakama pekee ndiyo inayoweza kutoa maamuzi iwapo kitu fulani ni Matumizi ya Haki au la, Harry Fox Agency (ambao hushughulikia leseni zetu za kava) hutoa miongozo ifuatayo: Iwapo wimbo wa mzaha unalenga kazi asilia yenyewe, kwa kawaida huchukuliwa kuwa mzaha wa kweli na unaweza ukawa ni Matumizi ya Haki. Mfano unawez...

    Full article…
  • Je, Naweza Kupakia Nyimbo Fupi?

    Inawezekana kupakia na kusambaza nyimbo fupi kupitia DistroKid, lakini kila wimbo uliopakiwa lazima uwakilishe wimbo mzima na kamili. Vipande vya wimbo, klipu, na milio ya simu haziruhusiwi. Huduma zinaweza kukataa nyimbo ambazo hazijakamilika ambazo zimepakiwa kwa DistroKid. Hili likitokea, utaarifiwa.

    Full article…
  • Je, DistroKid inaweza kuwasilisha kazi yangu kwa Kuack Media?

    Ndiyo! Kuack Media ni huduma ya muziki na video zinazopatikana katika Carribean na Latin America kwa chapa na watoa maudhui. Kampuni zinazoongoza kwenye huduma za simu ikiwa ni pamoja na Virgin na Digicel, hutumia teknolojia yao kuwezesha programu za utiririshaji zenye chapa na zinazofikia zaidi ya watu milioni 200 waliojisajili. Baadhi ya programu zao za utiririshaji zenye chapa ni pamoja na: d’Music inapatikana kwenye vifaa vya rununu vya Digicel katika maeneo 32 kule Latin Amerika na Karibiani Lola Music inapatikana kwenye simu za mkononi za Virgin kule Colombia Movistar Musica inap...

    Full article…
  • Je, DistroKid Inaweza Kusambaza kazi yangu kwa Joox?

    Ndiyo! Joox ni huduma mpya ya kutiririsha na ya kijamii kwa ajili ya wasanii inayopatikana Hong Kong, Malaysia, Indonesia, Thailand na Myanmar. Joox ndiyo huduma kubwa zaidi ya utiririshaji inayokua kwa kasi zaidi barani Asia ikiwa na watumiaji milioni 3. Unaweza kuchagua kujiunga na Joox kwenye fomu ya kupakia, hakikisha tu kwamba imechaguliwa kwenye orodha ya maduka unayotaka kusambaza. Ili kuongeza kazi yako iliyopo kwa Joox, nenda kwenye dashibodi ya (za) albamu yako, songa nusu ukurasa hadi kwa orodha ya maduka/viungo ambavyo kazi yako ipo kwa sasa, kisha bofya "Ongeza kwenye maduka z...

    Full article…
  • Kutuma Muziki Wako Pandora

    Kupitia DistroKid, unaweza kuingia Pandora bila malipo ya ziada kwa kuichagua kwenye fomu ya kupakia. Pandora ina huduma kadhaa ambazo tunaweza kusaidia kuingiza muziki wako. Hapa kuna huduma hizo: Pandora (bila malipo) - Huduma ya redio ya Pandora inayowezeshwa na matangazo. Pandora Plus - Huduma ya redio ya Pandora inayolipisha (bila matangazo). Pandora Premium - Huduma ya Pandora ya kulipia ya on-demand ambayo inafanya kazi kama huduma zingine nyingi za kutiririsha. Mara tu upakiaji wako unapokamilika na muziki wako kuwasilishwa kwa Pandora, watakagua muziki wako kabla ya kuingi...

    Full article…
  • Kuwasilisha Muziki Wako kwa Audiomack

    Kusambaza muziki wako kwa Audiomack kupitia DistroKid ni rahisi! Ili kusambaza muziki wako kwa Audiomack, utahitaji kwanza kuunganisha akaunti yako ya Audiomack na akaunti yako ya DistroKid. Ili kuunganisha akaunti yako ya Audiomack kwenye akaunti yako ya DistroKid, ingia DistroKid na kisha bofya menyu ya Vipengele sehemu ya juu kulia. Kutoka hapo, bofya "Ufikiaji Maalum," kisha bofya "Unganisha kwa Audiomack." Unaweza pia kuelekea moja kwa moja hadi https://distrokid.com/audiomack-connect. Kwenye ukurasa huu, chagua msanii ambaye ungependa kuunganisha, na kisha bofya kitufe cha "Unganisha"...

    Full article…
  • Kuwasilisha Muziki Wako kwa Snapchat

    Snapchat imeshirikiana na DistroKid kusaidia kujenga maktaba yake ya sauti, ambayo pia inajulikana kama "Sounds" kwenye Snapchat. Ili kuongeza muziki wako kwenye Snapchat, unaweza kuichagua katika sehemu ya "Huduma" kwenye fomu ya kupakia, na kisha kuendelea kupakia. Ikiwa muziki wako tayari umepakiwa, unaweza kuuongeza kwenye Snapchat kwa kutembelea ukurasa wa albamu kutoka kwenye dashibodi yako ya DistroKid na kutumia sehemu ya "Ongeza kwenye maduka zaidi". Unapochagua kusambaza kwenye Snapchat kupitia DistroKid, utahitajika kuthibitisha kuwa unamiliki haki za kuchapisha kazi yako. Wasani...

    Full article…
  • Kutuma Muziki Wako wa Kielektroniki kwa Beatport

    DistroKid inatoa huduma za kusambaza kwa Beatport kama Nyongeza ya Albamu kwa matoleo yote ya DistroKid ya aina ya Kielektroniki. Kusambaza kwenye Beatport inagharimu $9.99 kwa mwezi, na unatoa usambazaji kwa Beatport bila kikomo kwa wasanii wote kwenye akaunti yako ya DistroKid. Ikiwa tayari umenunua nyongeza hii katika toleo moja, kusambaza kwa Beatport kutawezeshwa kwa matoleo yako ya kielektroniki ya awali na ya usoni bila malipo ya ziada.Ili kutuma muziki wako kwa Beatport, pakia muziki wako katika DistroKid huku ukihakikisha kuwa umechagua aina ya Kielektroniki na aina ndogo muafaka.U...

    Full article…
  • Kuwasilisha Muziki Wako kwa TouchTunes

    Ikiwa ungependa kuongeza muziki wako kwenye TouchTunes, unaweza kutembelea kiungo hiki ili kuingia. Ingawa tunaweza kuwasilisha muziki wako kwa TouchTunes, katalogi yao inachujwa kulingana na utafiti wa tasnia na umaarufu kadri inavyokidhi mahitaji yao maalumu. Kwa hivyo sio muziki wote wanaopokea utawekwa hewani. Kwa sababu hatudhibiti mchakato wa kuchuja, hatuwezi kutoa maelezo kuhusu nyimbo ambazo zinachaguliwa, au itachukua muda gani kwa nyimbo hizo kuwekwa hewani katika TouchTunes. Ili kufahamu ikiwa umeongezwa kwenye TouchTunes, unaweza kutumia Programu ya TouchTunes ili kutafuta mu...

    Full article…