Haiwezekani kwa DistroKid kusambaza muziki unaokisiwa kama ASMR, Kelele (White Noise), au Taamuli (Guided Meditation).
DistroKid ni ya wanamuziki solo, bendi, ma DJ, watumbuizaji na watayarishaji wanaorekodi muziki nyumbani au studioni. Unaweza kujaribu msambazaji mwingine ikiwa unatarajia kutoa kitu kinachohusiana na ASMR, Kelele (White Noise), au Taamuli (Guided Meditation).
DistroKid pia haiwezi kusambaza sauti ambayo ni sanaa ya kuongea (Spoken Word), kama hotuba au kitabu cha sauti. Tunaweka sanaa ya kuongea kama aina ya muziki kwa wasanii wanaopakia muziki ambapo mtindo wa sauti ni 'kuongea' badala ya kuimba.
Sign Up