Ndio, lazima ununue leseni ya kava kupitia DistroKid kila wakati unapopakia wimbo wa kava, hata kama umenunua kupitia wakala mwingine wa leseni.
Hii ni kwa sababu DistroKid haina njia ya kuthibitisha kwamba mtunzi asilia wa wimbo analipwa mgao wake unaohitajika kisheria isipokuwa iwe ni sisi tunamlipa.
Kutochagua nyimbo za kava kwenye mpango wa DistroKid wa leseni za nyimbo za kava kunaweza kusababisha huduma za kutiririsha kuondoa maudhui yako, au kukienda vibaya sana - watunzi wa nyimbo kuchukua hatua za kisheria.
Sign Up