Nyimbo za Kava
-
Kwa nini Nahitajika Kununua Leseni ya Wimbo wa Kava Kupitia DistroKid?
Kila unapopakia wimbo DistroKid, utaona kisanduku cha kuteua ili kubainisha ikiwa uliandika wimbo huo ("wa asili"), au uliandikwa na mtu mwingine ("kava"). Kuna sheria nchini...
Full article… -
Je, Nalazimika Kununua Leseni ya Kava Kupitia DistroKid Ikiwa Tayari Nina Leseni Kutoka Kwa Wakala Mwingine?
Ndiyo.Sababu ni kwamba hatuna njia ya kuthibitisha kwamba mtunzi asili wa wimbo analipwa sehemu yake inayohitajika kisheria--isipokuwa kama sisi ndio tunaowalipa.Kutochagua kava...
Full article… -
Nikipakia Kava Kama Singo, Je, Naweza Pia Kuingiza Kava Hiyo Kwenye Albamu?
Ndiyo!Hata hivyo, kumbuka, utahitaji kununua tena leseni ya kava kwa ajili ya kava iliyojumuishwa kwenye albamu. Lazima ununue leseni ya kava ya DistroKid kila unapopakia wimbo...
Full article… -
Muziki Wangu Una Sampuli Kutoka Nyimbo Zingine. Hiyo ni sawa?
DistroKid inaweza kusaidia kwenye kava. DistroKid haiwezi kusaidia kwenye sampuli.Tofauti ni ipi?KusampuliKusampuli ni pale unapotumia rekodi halisi iliyoimbwa na msanii mwingin...
Full article… -
Je, Naweza Kupakua Leseni za Kava Zangu?
Ndiyo! Ingia tu kwenye akaunti yako kisha bofya ikoni ya Wasifu wako kwenye sehemu ya juu kulia. Kutoka hapo, bofya "Leseni za nyimbo za Kava" ili kuona leseni zako zilizopo.
Full article…