Direct inafanya kazi kutumia michoro yako iliyopo kama msingi wa bidhaa zako. Kwa sasa kuna mifano minne ya bidhaa ambayo unaweza kuchagua kutumia kutengeneza bidhaa, na katalogi ya bidhaa itaongezeka katika miezi ijayo. Kutekeleza manunuzi kunashughulikiwa kupitia mshirika wetu, Gelato.
Ni Bidhaa Gani Zinazoweza Kuuzwa kupitia Direct?
Hapa chini ndo bidhaa zilizopo kwa sasa kupitia duka lako la Direct:
Mavazi
- Fulana za Ubora wa Juu za Jinsia Zote (Bella + Canvas 3001)
- Fulana za Kike za Ubora wa Juu zenye Shingo Duara (Bella + Canvas 6004)
- Sweta ya Kivutio (Pullover Hoodie) ya Jinsia Zote
Vya ziada
- Kikombe Cheupe cha 325ml cha Kauri (udongo) Chenye Rangi Ndani.
- Begi ya Kubebea Yenye Ubora wa Juu
- Picha ya Sanaa - 12x12" (30x30 cm)
Tafadhali kumbuka, haiwezekani kutumia michoro ambayo haitokani na matoleo yako yaliyo hewani DistroKid. Michoro maalum bado hairuhusiwi kwa bidhaa za Direct.
Sign Up