• Direct ni nini?

    Direct ni jukwaa la bidhaa lililojengwa na DistroKid ambalo linawaruhusu wasanii kupata pesa kwa kuyafanya matoleo yao yaliyopo kama bidhaa zinazohitajika na zinazoweza kununuliwa na wafuasi.Direct inakuruhusu kuunda na kuuza bidhaa bila kushughulikia bidhaa halisi, kuzifunga, au kuzisafirisha.Unachagua bidhaa, unazibuni kwa kutumia michoro ya matoleo yako, unaweka bei zako, na unapokea 100% ya faida ukishaondoa gharama za kuzalisha, kodi na kusafirisha. Kila kitu kinachapishwa na kusafirishwa kulingana na mahitaji.Gharama ya Direct ni $70 Dola za Marekani kwa mwaka, ambayo ni takriban $5.8...

    Full article…
  • Ninaunda vipi duka la Direct?

    Kuweka duka lako mtandaoni kunachukua hatua chache tu: Chagua msanii wakoNenda pale https://distrokid.com/direct na uchague msanii ambaye unataka kumzindulia duka. Jiunge na DirectNunua uanachama wa Direct ili kuwezesha uundaji wa duka, unatozwa $70 kwa mwaka (takriban $5.89 kwa mwezi). Chagua bidhaa zakoChagua bidhaa unazotaka kuzindua nazo. Unganisha PayPalUnganisha akaunti yako ya PayPal ili uweze kupokea malipo kutoka kwa mashabiki. Idhinisha utekelezajiIdhinisha Gelato iondoe gharama za kuzalisha, kusafirisha na kodi kwa kila agizo. Unapokea 100% ya faida baada ya gharama. Sambaza duka...

    Full article…
  • Ninaweza Kuuza Nini kwenye Direct?

    Direct inafanya kazi kutumia michoro yako iliyopo kama msingi wa bidhaa zako. Kwa sasa kuna mifano minne ya bidhaa ambayo unaweza kuchagua kutumia kutengeneza bidhaa, na katalogi ya bidhaa itaongezeka katika miezi ijayo. Kutekeleza manunuzi kunashughulikiwa kupitia mshirika wetu, Gelato. Ni Bidhaa Gani Zinazoweza Kuuzwa kupitia Direct?Hapa chini ndo bidhaa zilizopo kwa sasa kupitia duka lako la Direct:MavaziFulana za Ubora wa Juu za Jinsia Zote (Bella + Canvas 3001)Fulana za Kike za Ubora wa Juu zenye Shingo Duara (Bella + Canvas 6004)Sweta ya Kivutio (Pullover Hoodie) ya Jinsia ZoteVya zia...

    Full article…
  • Ninalipwa Vipi kwa Mauzo ya Direct?

    Ili kulipwa kwa mauzo ya Direct, unahitaji kuunganisha akaunti yako ya PayPal ili tuweze kuweka pesa zako unapofanya mauzo, na kuondoa pesa ili kugharamia kutengeneza bidhaa.Ili kutumia PayPal kwa kuweka amana na kutoa pesa:Baada ya kuanzisha duka lako, utahitaji kwenda kwenye Mipangilio ya Malipo na ukamilishe mipangilio hii. Wateja wataweza kununua kutoka kwako baada yako kukamilisha hatua hii. Kwa kifupi, hivi ndivyo mauzo ya Direct yanavyofanya kazi: Mteja analipa kiasi kamili cha oda kwenye akaunti yako ya PayPal Gelato inakutoza gharama ya kutengeneza na kusafirisha bidhaa hiyo Unabak...

    Full article…
  • Kubinafsisha Duka lako la DistroKid Direct

    Unaweza kubinafsisha duka lako la Direct kwa kutembelea dashibodi yako ya Direct na kubofya "Store Profile", au kwa kuelekea kwenye https://direct.distrokid.com/controlpanel/site_profile/edit. Kutoka hapo, unaweza kubadilisha yafuatayo: Jina la msanii linaloonyeshwa kwenye duka Wasifu wa msanii (hadi herufi 150) Eneo la msanii Majira ya saa Lugha unayopendelea kwa duka lako (maandishi yanayotolewa na Direct katika duka lako yatawekwa katika lugha hii) Lugha ya mhariri (lugha unayotumia katika kidhibiti tovuti yako na nyenzo za kuhariri) Picha ya msanii (picha inayoonekana karibu na jina lak...

    Full article…
  • Direct Inagharimu Kiasi Gani?

    Duka la bidhaa la Direct linagharimu $70 Dola za Marekani kwa mwaka, ambayo ni takriban $5.89 kwa mwezi. Hii ni ada ya uanachama isiyobadilika ya kila mwaka inayokuwezesha kufikia duka lako la bidhaa, nyenzo za kutengeneza bidhaa na kumeneji oda. Jinsi ya Kujisajili kwa DirectIli kujisajili kwa Direct, tembelea https://distrokid.com/direct na uchague msanii unayetaka kumtengenezea duka. Wakati wa kujisajili, utaombwa kuwezesha uanachama wa Direct, ambao utatozwa kwa njia ya malipo ambayo tayari imehifadhiwa kwenye akaunti yako ya DistroKid. Kuendeleza Usajili Kunavyofanya KaziUanachama wako...

    Full article…
  • Je, Direct Inasafirisha Wapi?

    Direct inasafirisha bidhaa kwa wateja kwa zaidi ya nchi na maeneo 200 – nchi nyingi duniani kote. Ikiwa mnunuzi yuko katika eneo lililojumuishwa, oda yake itashughulikiwa na kusafirishwa bila wewe kufanya jambo lolote la ziada.Oda zinachapishwa karibu na mteja kadri iwezekanavyo ili kuhakikisha zinasafirishwa haraka na gharama zinabaki kuwa chini. Mtandao wa Direct unajumuisha zaidi ya washirika 140 wa kuchapisha huku ukizalisha nyumbani katika nchi 32, hivyo oda nyingi hukamilishwa ndani ya nchi au katika ukanda huo huo.Bidhaa nyingi zinazalishwa ndani ya nchi, lakini kuna nyakati ambapo b...

    Full article…
  • Ninawezaje Kusambaza Kiungo cha Duka langu la Direct?

    Ukiwa tayari kushiriki duka lako la Direct, nenda kwenye paneli yako ya kuthibiti Direct hapa https://direct.distrokid.com/controlpanel na kisha bofya "Share my Direct". Kutoka hapo, unaweza kusambaza kiungo cha duka lako moja kwa moja katika Facebook, Threads, X, na barua pepe kwa kubofya ikoni husika chini ya sehemu ya "Share with:".Unaweza pia kunakili kiungo cha moja kwa moja cha duka lako chini ya sehemu ya "Link". Aidha, unaweza kunakili, kuchapisha au kupakua msimbo wa QR unaowapeleka mashabiki wako moja kwa moja hadi kwenye duka lako la Direct - unaweza kuongeza msimbo huu wa QR kwe...

    Full article…
  • Ninaongeza Vipi Bidhaa kwenye Duka Langu la Direct?

    Ili kuongeza bidhaa mpya kwenye duka lako la DistroKid Direct, nenda kwenye paneli yako ya kuthibiti Direct pale https://direct.distrokid.com/controlpanel, kisha bofya “Products.” Kwenye ukurasa wa bidhaa, bofya “Add a product.” Kisha, bofya kwenye toleo ili kuchagua mchoro wa bidhaa mpya, kisha chagua aina ya bidhaa. Bofya “Add product,” na utakuwa umemaliza!Tafadhali kumbuka kwamba duka la Direct la msanii linaweza kutoa hadi bidhaa 20.

    Full article…
  • Ninawezaje Kuondoa Bidhaa?

    Ili kufuta bidhaa kutoka kwenye duka lako la Direct, nenda kwenye paneli yako ya kuthibiti pale https://direct.distrokid.com/controlpanel, kisha bofya "Products" kwenye urambazaji wa upande wa kushoto.Kwenye ukurasa wa bidhaa, bofya nukta tatu chini ya safu ya "Actions" karibu na bidhaa unayotaka kuondoa, kisha bofya "Delete."Kisha utaona ujumbe wa kuthibitisha kufuta - bofya "Delete" tena ukiwa na uhakika wa kuondoa bidhaa hiyo.

    Full article…
  • Je, Ninapata Pesa Ngapi Kwa Kila Mauzo kwenye Direct?

    Unaamua ni kiasi gani mashabiki wako watalipa kwa bidhaa zako za Direct kwa kubadilisha faida kwa kila bidhaa. Kiwango hicho ndio faida yako. Unapobadilisha kiwango hiki, bei ya mteja inasasishwa kiotomatiki ili uweze kuona kwa usahihi kiasi watakacholipa. Jinsi ya Kubadilisha Bei ya BidhaaHivi ndivyo unavyoweza kubadilisha bei ya bidhaa katika duka lako la Direct: Nenda kwenye paneli yako ya kuthibiti Direct: https://direct.distrokid.com/controlpanel Bofya Products. Chagua bidhaa unayotaka kufanyia mabadiliko. Katika sehemu ya Pricing, badilisha faida yako. Kagua bei iliyosasishwa ya mteja...

    Full article…
  • Ninaweza Kuona Wapi Mauzo na Mapato Yangu ya Direct?

    Ili kuangalia historia yako ya muamala ya DistroKid Direct, nenda kwenye paneli yako ya kuthibiti Direct pale https://direct.distrokid.com/controlpanel na kisha bofya "Orders". Baada ya hapo, utaweza kuona orodha ya maagizo yote yaliyofanywa kwa duka lako la Direct.Kila kipengee katika orodha hii kinaonyesha tarehe ya ununuzi, nambari ya agizo, mteja, jumla ya ununuzi na hali ya sasa ya agizo.

    Full article…
  • Nani Analipia Usafirishaji kwa Oda za Direct?

    Kwa oda za Direct, mteja analipia kusafirisha wakati wa malipo. Gharama ya kusafirisha inaongezwa kwa jumla ya gharama ya oda yake kiotomatiki kulingana na eneo lake na kile anachonunua.Aanalipa kiasi kamili kwenye akaunti yako ya PayPal. Oda inapokamilika, gharama ya kusafirisha (pamoja na gharama ya msingi ya bidhaa na kodi) inaondolewa ili kufidia kutengeneza na kusafirisha. Salio linalobaki ni faida yako.

    Full article…
  • Nini Kitatokea ikiwa Oda Itapotea, Itaharibika au ina Matatizo ya Ubora?

    Kila barua pepe ya kuthibitisha agizo la DistroKid Direct na kusafirisha inayotumwa kwa wateja wako ina maagizo ya jinsi ya kupata usaidizi ikiwa kuna tatizo na oda yao. Mara nyingi, wateja huripoti matatizo kwa kujibu moja ya barua pepe hizo moja kwa moja.Masuala ya kawaida ni pamoja na: Bidhaa iliyopotea wakati wa kusafirisha Bidhaa iliyowasili ikiwa imeharibika Kutoridhika kwa ujumla na ubora wa chapa au bidhaa Mteja anapofuata maagizo katika barua pepe, tatizo linaelekezwa kwetu na kushughulikiwa na mshirika wetu wa kutekeleza.Ikiwa Mteja Atawasiliana Na Wewe Moja kwa MojaWakati mwingin...

    Full article…
  • Kwa Nini Oda kutoka Duka Langu la Direct Haikufaulu?

    Wakati mteja anaweka oda, mshirika wetu wa kutekeleza (Gelato) anatoza akaunti yako ya PayPal ili kushughulikia gharama za kutengeneza na kusafirisha. Ikiwa malipo hayo yatafeli, oda inasitishwa.Habari njema: duka lako na oda yako ziko sawa—ni tatizo tu la mipangilio ya malipo, na kawaida linatatuliwa haraka.Jinsi ya Kurekebisha Tatizo HiliHatua ya 1: Hakikisha kuwa akaunti yako ya PayPal imethibitishwaPayPal wanaweza kuzuia matozo ikiwa anwani yako ya barua pepe haijathibitishwa. Ingia kwenye PayPal na uende kwenye Settings → Account (Mipangilio → Akaunti) Chini ya "Email," hakikisha baru...

    Full article…
  • Kwa Nini Oda Niliyoweka Kutoka Duka la Direct Ilisitishwa na Pesa Kurejeshwa?

    Wakati mwingine, oda iliyowekwa kutoka duka la Direct hushindwa kukamilika. Hili likitokea, oda inasitishwa na marejesho ya gharama ya oda hiyo hufanywa. Marejesho Huchukua Muda Gani? Marejesho kwa kawaida huchakatwa ndani ya saa chache baada ya kuweka oda yako, wakati mwingine mapema zaidi. Pesa inapaswa kuonekana tena kwenye akaunti yako (kulingana na benki yako au mtoa huduma za malipo), na inaweza kuchukua kati ya siku 1-10. Kwa Nini Oda Yangu Ilisitishwa? Hizi ndizo sababu za kawaida za oda ya Direct kusitishwa:Bidhaa uliyoagiza ilikuwa imeishaKulikuwa na tatizo na anwani ya kusafirish...

    Full article…
  • Kwa nini oda ya mteja wangu imeghairiwa na kurejeshewa pesa?

    Wakati oda iliyowekwa kwenye duka lako la Direct inashindwa, inasitishwa na tunajaribu kumrejeshea mteja wako pesa za malipo ya oda hiyo.Hizi ndizo sababu za kushindwa kwa oda za Direct: Kushindwa kwa malipo (akaunti yako ya PayPal)Ikiwa hatuwezi kuondoa gharama za kuzalisha na kusafirisha bidhaa zilizo kwenye oda kutoka kwenye akaunti yako ya PayPal, oda itafeli. Utapokea arifa ya barua pepe na utakuwa na masaa 48 kutatua tatizo hilo. Ikiwa litatatuliwa kwa wakati, oda itawasilishwa tena. La sivyo, oda itasitishwa na mteja wako atarejeshewa pesa. Marejesho kwa kawaida hufanyika mara moja. ...

    Full article…
  • Nini cha Kufanya Wakati Oda Inapokuwa na Bidhaa Zisizopatikana kwa Sasa

    Oda inapojumuisha vitu ambavyo havipatikani kwa sasa, oda hiyo itawekwa alama "Failed." Usijali, hutatozwa kwa oda hizi. Pia utapokea arifa ya barua pepe kuhusu hali hiyo, inayokupa chaguo kadhaa.

    Full article…
  • Je, Ninawezaje Kuagiza Sampuli ya Bidhaa Zangu za Direct?

    Ikiwa ungependa kuona jinsi bidhaa yako ya Direct inavyofanana na inavyohisi mkononi kabla ya kuitangaza, njia rahisi zaidi ya kuagiza sampuli ni kuinunua moja kwa moja kutoka kwa duka lako mwenyewe, kama vile mteja angefanya. Jinsi ya Kuagiza Kutoka Duka Lako MwenyeweTembelea ukurasa wa umma wa duka lako.Ongeza bidhaa kwenye kikapu chako na uendelee na malipo kama kawaida.Kwa sababu wateja wanakulipa wewe moja kwa moja, kiasi kamili cha mauzo kinaingia kwenye akaunti yako ya PayPal. Wakati agizo limetimizwa, ni gharama ya jumla ya bidhaa, kusafirisha, na kodi pekee zinaondolewa. Zingine zi...

    Full article…
  • Kwa nini bei za shati zinatofuautiana kulingana na ukubwa au rangi?

    Mashati mengi yana bei sawa katika saizi za kawaida (Ndogo–XL). Lakini wakati mwingine saizi au rangi fulani hugharimu zaidi kutoka kwa washirika wetu wa kuchapisha. Mteja anapochagua saizi au rangi katika duka lako, bei inasasishwa papo hapo ili kuonyesha gharama halisi. Hii ndiyo sababu tunakuruhusu kuweka faida yako ili upate kiasi kilekile (au zaidi) kwa kila chaguo bila kujali gharama ya kukamilisha. 

    Full article…
  • Jinsi ya Kusitisha DistroKid Direct

    Ili kusitisha usajili wako wa DistroKid Direct, tafadhali wasiliana na timu yetu ya usaidizi kupitia nyenzo ya gumzo kwenye kituo chetu cha usaidizi. Ukishawasiliana nao, mwakilishi ataweza kukusaidia na kusitisha usajili wako.

    Full article…