DistroKid
-
DistroKid ni nini?
DistroKid ni huduma ya usambazaji wa muziki kidijitali ambayo wanamuziki hutumia kuweka muziki kwenye maduka ya mtandaoni na huduma za utiririshaji. Hizi ni pamoja na iTunes, Sp...
Full article… -
Inagharimu Kiasi Gani?
DistroKid inatoa mipango mingi, kuanzia mpango wa msanii/bendi moja, hadi mipango ya Ultimate kwa hadi wasanii 100. Ili kuona ni mpango upi wa malipo kwa Wanamuziki na Lebo am...
Full article… -
Ni Huduma na Maduka Yapi Ambako Muziki Wangu Utaonekana?
Unaweza kubainisha muziki wako kuonekana katika baadhi ya huduma au huduma zote kati ya hizi zifuatazo: Spotify Apple Music iTunes Instagram & Facebook TikTok- Luna- Capcut...
Full article… -
Vizawadi vya DistroKid: Zaidi ya Usambazaji
DistroKid inajulikana vizuri kwa kuwa njia ya haraka na rahisi zaidi ya kufikisha muziki wako kwenye huduma za utiririshaji na kupokea 100% ya mapato yako. Lakini wanachama wa D...
Full article… -
Ni Vipengele Vipi Zinapatikana katika kila Mpango?
Vipengele Musician Musician Plus Ultimate! Pakia nyimbo bila kikomo ✔️ ✔️ ✔️ Pakia mashairi bila kikomo ✔️ ✔️ ✔️ Tiki ya Spotify ya uthibitisho ✔️ ✔️ ✔️ P...
Full article… -
Je, DistroKid ina Bidhaa?
Ndiyo! Kofia, Mashati, Sweta, Vikata Kucha, hata Kitabu cha Mtoto! Iangalie na ujinyakulie bidhaa hapa. Kitabu Chetu cha Watoto, Music Production ABCs, kinaweza kununuliwa ha...
Full article… -
Nabadili kutoka Kampuni Tofauti ya Usambazaji hadi DistroKid. Mchakato upo vipi?
Karibu! Hutajuta.. Ni rahisi kubadili kuja DistroKid. Hivi ndivyo jinsi: Pakia matoleo yako kwenye DistroKid Siku inayofuata, nenda kwa msambazaji wako wa zamani na ondoa ha...
Full article… -
Je, naweza kuwasiliana na DistroKid?
Ndiyo! Lakini kwa kawaida wala huhitaji, hata kama unaweza kufikiri unahitaji kufanya hivyo. Maswali mengi tunayoulizwa yanajibiwa katika Kituo chetu kikubwa cha Usaidizi, amba...
Full article… -
Je, Naweza Kuuza Muziki Wangu Mahali Pengine, Kando na Huduma Unazosambazia?
Ndio! Unamiliki haki za muziki wako mwenyewe, na unaweza kuuza popote (na vyovyote) upendavyo.
Full article… -
Je, DistroKid Inasajili na BMI au ASCAP? Je, ni lazima kufanya hivyo kama Msanii?
Hatusajili muziki wako BMI au ASCAP. Pia sio lazima kufanya hivyo baada ya kusambaza muziki wako kupitia sisi.Si lazima ujisajili na Shirika la Haki za Utumbuizaji, yaani Perfo...
Full article… -
Je, DistroKid Ina Huduma Gani za Lebo za Kurekodi?
Mamia ya lebo za kurekodi hutegemea DistroKid kwa usambazaji na uhasibu wa haraka na rahisi. DistroKid hurahisisha lebo kupakia muziki kwa ajili ya wasanii wao wote. Je, unawaki...
Full article… -
Je, DistroKid iko salama?
Ndiyo. DistroKid hutumia usimbaji fiche wa SSL wa kiwango cha benki (SHA-256 na RSA, TLS 1.2) kusambaza maelezo ya kadi ya mkopo. Taarifa hizo za kadi ya mkopo kisha hutumwa ...
Full article… -
Je, DistroKid Inaweza Kucheleza, yaani ku backup Nakala Nilizo Pakia?
Ndiyo!DistroKid hucheleza (backup)kiotomatiki faili zako zote za sauti (na data nyingine). Kisha tunapanga kila kitu vizuri na kuviweka kwenye DistroKid Vault.DistroKid Vault hu...
Full article… -
Je, DistroKid Inaikubali Dolby Atmos?
Ndiyo! Ni rahisi kwa wanachama wa DistroKid kusambaza muziki wao ulioboreshwa wa Dolby Atmos kwa Apple Music, TIDAL, na Amazon. Dolby Atmos ni njia mpya kabisa ya kuunda na ku...
Full article…