Utatuzi wa shida
-
Msaada! Albamu/Singo Yangu Ilienda Hewani Kabla Ya Tarehe Yake Ya Kutolewa
Ikiwa toleo lako lilienda hewani katika majukwaa kabla ya tarehe uliyokusudia kutolewa, tafadhali hakikisha kuwa ulichagua mwaka sahihi kwa ajili ya tarehe ya baadaye ya kuto...
Full article… -
Toleo Langu Lilikataliwa, Nitarekebisha vipi?
Ikiwa albamu yako ilikataliwa, utahitaji kulifuta na kupakia upya toleo lako ili kurekebisha chochote kilicholeta shida wakati wa ukaguzi, isipokuwa maduka yakihitaji uthibit...
Full article… -
DistroKid imeniomba Uthibitisho, Je! Nafanyaje Hilo?
Wakati mwingine, maduka humtaka msanii athibitishe jina lake la kisanii. Hili husaidia kulinda kazi zako kwenye DistroKid na ndani ya maduka, na kuhakikisha kuwa hakuna mtu an...
Full article… -
Kwa nini Mafaili Yangu Yana Byte Sufuri?
Ukiona ujumbe unaosema "Faili ulilopakia ni byte sufuri," inamaanisha kuwa faili lako la sauti haliwezi kuchezwa. Wakati mwingine hii hutokea unapojaribu kupakia kwa kutumia ...
Full article… -
Kwa nini Ukubwa wa Sauti ya Wimbo Wangu Unaonekana Tofauti kwenye Huduma za Utiririshaji?
Hatufanyi uchakataji wowote wa ukubwa wa sauti kwenye wimbo wako baada ya kupakia (isipokuwa kama unachagua kuingia kwenye nyongeza yetu ya Usawazishaji wa...
Full article… -
Toleo Langu Limekwama kwenye Uchakataji
Je, toleo lako linaonekana kukwama kuchakatwa huku kukiwa na mduara wa manjano karibu na albamu/wimbo/mchoro wako? Hii kwa kawaida inamaanisha kuwa muda wa ziada wa uchakataj...
Full article… -
Natakiwa Kufanya Nini Endapo Upakiaji Wangu Unaonekana Kukwama?
Huenda ikawa ni tatizo la intaneti kwa upande wako. Intaneti iliyounganishwa kwa nyaya ndiyo inapendekezwa badala ya Wi-Fi kwa sababu ukatikaji wowote wa WiFi unaweza kusababish...
Full article… -
Upakiaji Wangu Unafeli Kabla Ya Kukamilika. Kulikoni Hapo?
Je, unaona upau mwekundu?Ikiwa upao au ufito wa maendeleo unageuka kuwa mwekundu wakati wa kupakia albamu yako, inamaanisha kuna kitu hakipo sawa kwenye intaneti yako na kwahiy...
Full article… -
Kuna Hitilafu katika Wimbo Niliopakia, Je, Unaweza Kutoa Albamu Bila Wimbo wenye Hitilafu?
Hatuwezi kuwasilisha toleo kwa huduma za utiririshaji ikiwa sehemu yoyote ya toleo ina hitilafu, hata kama ni faili moja pekee ndilo lenye tatizo. Hii ni kwa sababu hatuwezi ku...
Full article… -
Unaona: Muunganiko Wa Soketi Yako kwenye Seva Ulikuwa Hujasomwa au Kuandikwa Ndani ya Muda Uliowekwa.
Nakala fupi: Labda kuna kitu hakipo sawa kwenye muunganisho wa intaneti yako. Au intaneti katika eneo lako.Nakala refu:Kuhamisha mafaili kubwa kwenye intaneti ni ngumu. Unapot...
Full article…