• Vizy ni nini?

    Vizy ni kitengeneza video za muziki ambacho wanamuziki wanaweza kutumia ili kupata video watakazotumia kuchapisha muziki wao kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, TikTok, X, au Facebook. Chagua kutoka kwa violezo 20 tendaji na vinavyovutia ambavyo husisimua na kuwaweka makini wasikilizaji wako. Ni rahisi! Anzia kwa Vizy.com.  

    Full article…
  • Je, Vizy Inagharimu Kiasi gani?

    Kila video inayotengenezwa na Vizy inagharimu $8.99 USD kwa dakika 5 za kwanza za wimbo wowote na $0.99 USD kwa kila dakika ya ziada. Ikiwa kiolezo unachochagua kinaweza kuonyesha mistari, unaweza pia, kwa hiari, kuongeza mistari iliyooanishwa kwa video ya Vizy kwa $5.00 USD kwa kila video. Ukinunua saizi nyingi za video yako ya Vizy kwa wakati mmoja, utapata punguzo la 10% kwa gharama ya jumla kwa kila video. Kodi ya mauzo itahesabiwa kwa jumla ya gharama.

    Full article…
  • Je, Ni Wapi Naweza Kupata Video Zangu Za Muziki za Vizy?

    Ili kuzipata video za muziki ulizotengeneza na Vizy, ingia katika akaunti yako ya DistroKid, na tembelea https://distrokid.com/videos/. Tafadhali kumbuka kwamba, kwa kawaida huchukua takribani siku moja kutengeneza video. Tutakutumia barua pepe ikikamilika. 🙂

    Full article…
  • Ninapataje Hiyo Video Nzuri ya Baby Yoda?

    Utahitajika kutembelea kwenye Kitengeneza Marcel chetu!Elekea https://distrokid.com/marcel kutengeneza yako mwenyewe!Video hizi ndogo ni nzuri na zinafurahisha kuzisambaza, lakini kwa mwonekano wa kitaalamu zaidi, nenda kwenye Vizy.com kwa video maalum za taswira za sauti za muziki wako. ⚡️👽⚡️Maelezo zaidi juu ya Vizy yanaweza kupatikana hapa.  

    Full article…