Mixea
-
Je, Bado Ninaweza Kupata Kuboresha Kwenye Mixea Bila Kuwa na Usajili wa Mixea?
Ikiwa huna usajili kamili wa Mixea na bado unataka kutumia baadhi ya uboreshaji kwenye kazi ulizopakia, bado utapata fursa ya kufanya hivyo wakati unapopakia! Baada ya kujaza fo...
Full article… -
Mixea ni nini?
Mixea ni huduma ya DistroKid ya mtandaoni ya kuboresha sauti. Unaweza kutumia Mixea kung'arisha muziki wako mara ya mwisho kabla ya kusambaza kwenye maduka na huduma. Mixea inaj...
Full article… -
Nitatumia Vipi Mixea?
Ni rahisi sana!Ili kuanza, nenda kwenye Mixea kutoka kwenye Menyu ya "Vizawadi" iliyo juu kulia. Ukiwa kwenye ukurasa mkuu, chagua faili unalotaka kuweka kwenye injini ya ubores...
Full article… -
Kuandaa Nyimbo Zako Kabla ya Kuzipakia kwenye Mixea
Ili ufaidike zaidi na uboreshaji wa nyimbo kutumia Mixea, tunapendekeza ufanye yafuatayo kabla ya kupakia faili zako: Ondoa programu-jalizi zozote za kuboresha kutoka kwa kifur...
Full article… -
Je! Mixea Inaweza Kuboresha Aina Gani Za Mafaili?
Mixea inakubali mafaili ya WAV, FLAC, MP3, AIFF na MP4, yaburuze na yashushe kwenye injini ya kuboresha, na utakuwa umemaliza!Unaweza kupakua nyimbo zako zilizokamilika kwenye U...
Full article… -
Je, Mixea Inagharimu Kiasi gani?
Mixea inagharimu $99 USD kwa mwaka, na inatozwa kila mwaka, katika tarehe ile ile ambayo ulijisajili katika huduma hiyo na kulipia usajili.
Full article… -
Je Napaswa Kuchagua Mipangilio Ipi ya Nguvu/EQ?
Unaujua muziki wako vizuri zaidi kuliko mtu yeyote! Chagua mipangilio ya Nguvu na EQ ambayo inasikika kwa ubora zaidi kwako. Mpangilio angavu wa EQ utaleta uwazi zaidi kwa sauti...
Full article… -
Je, Napaswa Kufanya Chochote Kitofauti Ikiwa Ninajaribu Kuboresha Wimbo Mmoja au Albamu Kamili?
Hakuna haja ya kufanya chochote kitofauti. Bado unaweza kuchagua mipangilio ya Nguvu/EQ ambayo kwako inasikika kwa ubora kwa kila wimbo. Hata hivyo, ikiwa unaboresha albamu nzim...
Full article… -
Mixea Inaweza Kuboresha Faili la Hadi Ukubwa Gani?
Kwa mafaili ya sauti yasiyopoteza ubora wake wa asili (WAV, FLAC) ukubwa wa juu wa faili ambao Mixea inaweza kuboresha ni 250MB. Kwa mafaili ya sauti yaliyopoteza kiasi cha ubor...
Full article… -
Je, Napakua Vipi Nyimbo Zilizoboreshwa kutoka kwa Mixea?
Ili kupakua nyimbo zako zilizoboreshwa kutoka Mixea, nenda kwa Mixea pale https://distrokid.com/mixea na bofya "Nyimbo zangu zilizoboreshwa" katika sehemu ya juu kulia ili kua...
Full article… -
Kwa nini inachukua muda mrefu sana kwa wimbo wangu kuboreshwa?
Usiwe na shaka! Injini ya Kuboresha ya Mixea inatengeneza machaguo 15 tofauti ya nyimbo zako, hii inaweza kuchukua dakika kadhaa au zaidi. Fahamu kwamba ukibonyeza nje ya ukuras...
Full article…