Kituo cha Usaidizi cha DistroKid Help Center home page
HOME Sign Up
  1. Kituo cha Usaidizi cha DistroKid
  2. Kulipwa
  3. Kodi

Kodi

Kila kitu Kinachohusiana na Kodi!

  • Je, DistroKid Inaweza Kunisaidia Kwa Masuala Yangu ya Kodi?

    DistroKid haiwezi kukusaidia katika masuala yoyote yanayohusu kodi, kwa kuwa sisi si wataalamu wa kodi.Unahitaji kushauriana na mtaalamu wa kodi kwa usaidizi wa jambo lolote lin...

    Full article…
  • Kwanini DistroKid Hukusanya Taarifa za Kodi?

    Wasanii wanaoishi Marekani wanaombwa kujaza Fomu ya W-9, na wasanii walio nje ya Marekani wanaombwa kujaza Fomu ya W-8BEN. Tunatakiwa kukusanya taarifa hizi mara moja kwa mwaka,...

    Full article…
  • Zenwork Tax1099, Idhini ya Kielektroniki, na Kuwasilisha Fomu ya Kodi

    DistroKid inafanya kazi na Zenwork Tax1099 kuwasilisha nyaraka zote za kodi. Tax1099 hivi sasa inahitaji idhini ya mtu binafsi ili kuwasilisha fomu hizo za kodi kupitia uwasilis...

    Full article…
  • Kupokea 1099 au 1042 kwa ajili ya Mapato Yako

    Ikiwa ulitoa pesa katika mwaka wa fedha uliopita, utapokea 1099 au 1042 kupitia barua pepe kutoka statements@tax1099.com. DistroKid haitoi fomu za W-2 kwa wakati huu. Ikiwa ulis...

    Full article…
  • Nenosiri la Fomu yangu ya 1099 au 1042 ni lipi?

    Wakati fomu yako ya ushuru itakuwa tayari, utapokea barua pepe kutoka statements@tax1099.com. Barua pepe hiyo itaomba idhini yako ya kuwasilishwa kieletrokini kwa 1099 au 1042 ...

    Full article…
  • Zuio la Kodi kwa Wakaazi Wasio wa Marekani

    Iwapo nchi yako unakolipa kodi sio Marekani, hadi 30% ya mapato yako yanaweza kukabiliwa na zuio la kodi. Iwapo kuna mkataba wa kodi kati ya nchi yako na Marekani, na ikiwa unak...

    Full article…

Didn’t find what you’re looking for?

Contact Us