• Kustahiki kwa Wimbo na Mahitaji ya Kuwasilisha kwa Facebook/Instagram

    Unapotuma muziki Facebook/Instagram kupitia DistroKid, matoleo yako yanapaswa kuwa tu na sauti ambazo umetengeneza mwenyewe. Vinginevyo, hazistahiki kutumwa Facebook au Instagram na zinaweza kuondolewa. Kwa habari zaidi, angalia nakala ya Facebook hapa: https://www.facebook.com/business/help/585591922881993   Sauti Tofauti Sauti ya toleo lako lazima iwe tofauti vya kutosha ili istahiki kwa Facebook na Instagram. Sauti ambazo zinaweza kukosa kuwa tofauti vya kutosha ni kama: • Sehemu zinazojirudia za uzalishaji• Msingi wa Sauti• Madoido ya sauti• Sauti zinazofanana• Rekodi za karaoke• Reko...

    Full article…
  • Kupata URL Yako ya Msanii ya Facebook na Instagram

    Ukiwa na DistroKid, unaweza kusambaza muziki wako Facebook na Instagram ili mashabiki wautumie katika Stories na Reels. Unaweza pia kuunganisha wasifu wako wa Facebook na Instagram kwenye muziki wako ili mashabiki wapate kwa urahisi wasifu wako wa msanii kwenye huduma husika. Ili kuunganisha kurasa zako za msanii katika Facebook na Instagram kwenye DistroKid, weka URL zako za Facebook na Instagram kwenye fomu ya kupakia unapotoa muziki wako.   Kupata URL ya wasifu wako wa Instagram Kwenye Instagram, URL ya profaili yako ni https://instagram.com/YOURINSTAGRAMHANDLE Kwa mfano, ikiwa jina lak...

    Full article…
  • Video Yangu Ilizimwa Sauti kwenye Instagram/Facebook Nilipoongeza Muziki Wangu

    Wakati unapopakia video kwenye Instagram au Facebook (na vilevile TikTok), hakikisha unaambatisha muziki wako kwa kuchagua nyimbo kupitia maktaba ya sauti, na sio kupakia video zikiwa na wimbo tayari umeambatishwa. Mara nyingi, hii ndiyo sababu inayopelekea video kuzimwa sauti kwenye majukwaa hayo.Baadhi ya video zinaweza kuzimwa sauti kutokana na vizuizi vya bidhaa. Kawaida, video za Facebook/Instagram zinazoiga hali ya kusikiliza sauti pekee haziruhusiwi. Mifano inajumuisha picha tuli, video, au mitiririsho mubashara yenye kiasi kikubwa cha sauti zinazogunduliwa.Ikiwa una video ambayo hai...

    Full article…
  • Kupata Muziki Wako kwenye Instagram

    Hivi ndivyo unavyoweza kupata muziki wako kwenye Instagram: Fungua Instagram Bonyeza "Your story" juu ya posti Chagua "Music" juu kwenye skrini ya "Add to story" Tafuta kwa kutumia jina la msanii, jina la wimbo, au namba ya ISRC (Hii inasaidia sana ikiwa unatatizika kupata toleo lako kwa kutumia jina la msanii au jina la wimbo). Kutafuta kwenye Instagram kutumia ISRC Ili kutafuta kutumia ISRC, ingiza ISRC: katika sehemu ya kutafuta ikifuatwa na ISRC yako. Unaweza kupata ISRC zako upande wa kulia wa majina ya nyimbo kwenye kurasa z...

    Full article…
  • Kuunganisha Wimbo Wako na Wasifu Wako wa Instagram

    Ili kuunganisha wimbo wako na wasifu wako wa Instagram katika upakiaji mpya, weka URL za wasifu wako wa Instagram na Facebook kwenye fomu ya kupakia ili kuunganisha nyimbo zako kwenye wasifu wako. Kwa maelezo zaidi kuhusu kuunganisha Instagram/Facebook kwa upakiaji mpya, tafadhali angalia makala haya. Ikiwa toleo lako tayari limepakiwa, tafadhali wasiliana na timu yetu ya usaidizi ili kuwasilisha ombi la kutaka muziki wako uunganishwe na wasifu wako wa Instagram. Tukishapokea ombi, tunaweza kutuma sasisho moja kwa moja kwenda Instagram ili kuwezesha maudhui yako yaliyopo yaunganishwe na was...

    Full article…
  • Muziki ulikuwa Hewani Instagram na Sasa Haupo

    Ikiwa muziki wako ulikuwa unapatikana Instagram na sasa haupo, inaweza kuwa ni kwa sababu ulipakia albamu yenye nyimbo ambazo awali zilitolewa kama singo. Instagram hutumia tarehe ya karibuni zaidi ya kutolewa kwa wimbo ili kubaini ikiwa unapaswa kuwa hewani - ikiwa tarehe ya kutolewa kwa albamu iko mbele kuliko tarehe ya kutolewa kwa singo, inaweza kusababisha zikosekane. Ili kurekebisha hali hii, tafadhali wasilisha Ombi la Kuwasilisha Tena Instagram hapa:Fomu ya Instagram ya Kuwasilisha Upya. Ili kuepuka hili siku za usoni, unaweza kupakia albamu kwenye DistroKid kabla ya singo.  

    Full article…
  • Je! ninaweza kuliweka toleo langu kwenye maktaba ya sauti kwenye Instagram/Facebook bila kujiunga na Social Media Pack?

    Ndiyo! Unaweza kuchagua "Instagram na Facebook" kama duka kwenye fomu ya kupakia na uongeze toleo lako kwenye maktaba ya sauti kwenye majukwaa yote mawili. Watumiaji kwenye Instagram na Facebook wataweza kupata muziki wako kwenye maktaba ya sauti na kuutumia katika Stories zao na Reels (Instagram). Walakini, ikiwa unataka kuchuma mapato ya UGC (Maudhui Yanayozalishwa na Mtumiaji, yaani User-Generated Content, kwa kutumia wimbo wako uliopakiwa kwenye majukwaa lakini bila ya kuuchagua kutoka kwa maktaba ya sauti) utahitaji kuchagua kuingia Social Media Pack.

    Full article…
  • Kuchuma Mapato kwa Muziki Wako kupitia Meta Rights Manager

    Uchumaji wa mapato kupitia Meta Rights Manager ni sehemu ya nyongeza ya albamu ya DistroKid ya Kifurushi cha Mitandao ya Kijamii ambayo hukupa malipo wakati watu wengine wanatumia muziki wako katika maudhui yao kwenye Instagram na Facebook.Baada ya kujumuisha muziki wako kwenye Kifurushi cha Mitandao ya Kijamii, DistroKid wataongeza muziki wako kwenye hifadhidata ya Meta Rights Manager, ambayo ni mfumo ambao Meta wanatumia kutambua wakati muziki wako unatumika katika maudhui yoyote kwenye Instagram au Facebook. Maelezo zaidi kuhusu Meta Rights Manager yanapatikana pale https://www.facebook....

    Full article…