Maelezo ya umbizo
-
Je, ni Maumbizo Yapi ya Mafaili ya Sauti NinaYoweza Kupakia?
Mafaili ya sauti yanapaswa kuwa WAV, MP3, M4A, FLAC, AIFF, au Windows Media (WMA). Ikiwa unatuma WAV, 16-bit, 44.1 kHz WAV ndiyo kiwango cha kawaida lakini kingine chochote k...
Full article… -
Je, Ni Yapi Mahitaji ya Mchoro wa Albamu?
Mchoro unapaswa kuwa katika faili la umbizo la .jpg. Mahitaji ya kipimo cha chini kwa mchoro wa albamu ni pikseli 1000x1000. Kimsingi, mchoro wa albamu unapaswa kuwa na umbo mr...
Full article… -
Je, Naweza Kupakia Jina la Wimbo/Albamu/Msanii kwa herufi kubwa zote au herufi ndogo?
Ndiyo! Unaweza kutumia herufi kubwa/mtindo ambao unataka kwa jina la msanii wako, vyeo, n.k.Tafadhali kumbuka kwamba ukichagua utumiaji usiofuata viwango kwa kutumia herufi kub...
Full article… -
Majukumu ya Msanii Ni Nini?
Majukumu ya msanii ni vitambulishi unavyoweza kutumia kuonesha huduma za utirishaji ni majukumu yepi msanii fulani alifanya katika utengenezaji au utumbuizaji wa toleo husika. M...
Full article… -
Je, Naweza Kuongeza Msanii Aliyeshirikishwa kwenye Wimbo Wangu?
Kabisa! Kwa vipakiwa vipya, kwenye fomu ya kupakia katika kiwango cha wimbo, chagua tu "Ndiyo, ongeza wasanii walioshirikishwa kwenye jina la wimbo (tafadhali taja...)" Ingiza ...
Full article… -
Kwa nini umbizo ambazo hazijapoteza ubora (kama WAV na FLAC) ni bora kuliko MP3?
Umbizo ambazo hazijapoteza ubora kama vile WAV na FLAC hutoa ubora wa juu wa uzalishaji mpya sauti kuliko MP3, kwa kuwa zinahifadhi data zake za asili na tofauti ndogo asili ya ...
Full article… -
Toleo Langu Ni Ushirikiano Kati Ya Wasanii Wengi. DistroKid Inaweza Kufanya Hivyo?
Ndiyo! Unaweza kufanya ushirikiano katika ngazi ya albamu na ngazi ya wimbo ukitumia DistroKid. Ushirikiano kwa Ngazi ya Albamu Ikiwa una albamu iliyohusisha wasanii wengi waku...
Full article… -
Usawazishaji wa Sauti ni nini?
Fomu ya kupakia ya DistroKid inajumuisha kisanduku cha kuteua cha "Usawazishaji wa Sauti." Unapochagua kipengele hiki cha ziada ambacho ni cha hiari, DistroKid itasawazisha k...
Full article… -
Toleo Langu Limekataliwa kwa Suala la Uumbizaji wa Jina. KULIKONI?
Huduma za Utiririshaji hazikubali majina ya nyimbo ambayo yana: Taarifa nyingi mno za ziada Mambo ya ajabu kwenye mabano Uakifishaji usio wa kawaida Tarehe au miaka Wasanii wa...
Full article… -
Je, Nawezaje Kupakia Toleo Safi na Lenye Lugha Chafu la Wimbo Uleule?
Unapopakia toleo safi na lenye lugha chafu la wimbo huo huo, weka alama kwenye wimbo wenye Lugha Chafu: Na orodhesha toleo Safi bila lebo ya Lugha Chafu, ukibainisha kuwa ni "...
Full article… -
Je, Nibainishe Kuwa Albamu Yangu Ilitolewa Hapo Awali?
Iwapo tayari umetoa rasmi albamu yako, hata kama kwa toleo halisi, mathalani CD, tafadhali bainisha tarehe ya awali ya kutolewa katika sehemu ya juu ya fomu ya kupakia. Hii ina...
Full article… -
Aina ya muziki wangu haipo kwenye fomu ya kupakia. Je, unaweza kuiongeza?
Orodha yetu ya aina za muziki inajumuisha aina zote zinazokubaliwa na maduka yote tunayosambaza nao. Ikiwa huoni aina ya muziki uitakayo, ondoa shaka! Chagua tu aina ya muziki ...
Full article… -
Kwa Nini Lugha Yangu Haipo Kwenye Orodha ya Lugha?
Kwenye fomu ya kupakia ya DistroKid, kuna orodha ya lugha. Orodha hii ina lugha zote ambazo zinatumika na huduma za utiririshaji. Ikiwa lugha yako haijaorodheshwa, ni bora kuch...
Full article… -
Je, Naweza Kuwa na Nyimbo Zenye Lugha Tofauti Kwenye Albamu Moja?
Hapana. Ni lazima utumie lugha moja kwenye majina ya albamu/wimbo nzima ili kuendana na lugha iliyochaguliwa unapopakia. Kwa lugha nyingi, pakia matoleo tofauti. Tafadhali pia k...
Full article… -
Je, Huduma za Utiririshaji Hupambanuaje Singo, EP na Albamu?
Je, huduma huchukulia nini kuwa Singo? Huduma nyingi huchukulia toleo kuwa "singo" ikiwa lina nyimbo 1-3, ambazo kila moja ni chini ya dakika 10. Ukipakia albamu yenye nyimbo 1...
Full article… -
Nini Maana ya Muziki 'Wenye Maneno Machafu'?
Wasanii wengi hutumia maneno machafu katika nyimbo zao. Hii ndiyo hali ambayo lazima muziki uonyeshwe kwamba una maneno machafu.Makala hii ya Wikipedia inaelezea zaidi kuhusu u...
Full article… -
Ni Idadi Gani ya Juu ya Nyimbo Zinazoweza Kuwa Kwenye Albamu?
35.
Full article… -
Je, napakiaje nyimbo zilizo na sampuli zilizoidhinishwa kutoka Tracklib?
Tracklib ni huduma ambayo husaidia wasanii kupata vibali vya sampuli. Kwa habari zaidi, angalia https://www.tracklib.com/howitworks/ Tracklib inakutaka uongeze royalty@tracklib...
Full article… -
Kwa Nini Jina La Lebo Yangu Ya Kurekodi Limeorodheshwa kama "123456 Records DK" (Au Namba Nyingine)?
Ikiwa hutaorodhesha jina la lebo ya kurekodi unapopakia kwenye DistroKid (lazima uwe na Mpango wa Musician Plus au Ultimate ili uweze kufanya hivyo), lebo yako ya kurekodi inaw...
Full article… -
Je, Ni Lazima Nijaze Sehemu ya Lebo Kwenye Musician Plus au Ultimate Account, Ninapopakia Muziki?
Ikiwa una usajili wa Musician Plus au Ultimate, unaweza kufanya kipengele cha "lebo" kikidhi mahitaji yako kwenye vipakiwa vyako vyote. Una hiari ya kujaza au kutojaza sehemu ya...
Full article… -
Je, Naweza Kutumia Jina La Lebo Yangu kama Jina Langu la Msanii?
Hapana.Huduma za utiririshaji zinahitaji uweke jina lako halisi la msanii katika sehemu ya jina la msanii, wakati unapopakia. Usiorodheshe jina lako la msanii kama "Cool Guy Re...
Full article… -
Je, Naweza Kubainisha Kwamba Baadhi ya Nyimbo Zinapatikana kama "Albamu Pekee?"
Hapana, kwa sasa DistroKid haikubali jambo hii.
Full article… -
Je, Nahitaji Kupachika Metadata Kwenye Nyimbo Zangu Kabla Sijapakia?
Hapana.Utaulizwa taarifa muhimu (kama vile jina la wimbo, aina ya muziki, mchoro wa jalada) kwenye ukurasa wa kupakia toleo lako, ambazo ndizo huduma za utiririshaji zitatumia ...
Full article… -
Maswali za Uboreshaji
Tafadhali wasiliana na mhandisi wa uboreshaji kwa ajili ya vidokezo kuhusu kuboresha nyimbo zako. Sisi ni wasambazaji tu :) Mara tu ukiwa na masters zako tayari kwenda hewani, p...
Full article… -
Je, Naweza Kupakia Soundtracks?
Ndiyo! Kuna miongozo ya uumbizaji ambayo matoleo ya Soundtracks yanapaswa kufuata. Aina ya Soundtrack ni ya filamu, TV, mchezo na sauti za ukumbi wa michezo, na haitumiki kwe...
Full article…