Kituo cha Usaidizi cha DistroKid Help Center home page
HOME Sign Up
  1. Kituo cha Usaidizi cha DistroKid
  2. Taarifa Maalumu za Maduka
  3. Kiufundi

Kiufundi

  • Kiungo cha Toleo Langu katika iHeart Hakifanyi Kazi

    Kwa wakati huu, matoleo yaliyosambazwa kwa iHeart/iHeartRadio kupitia DistroKid yanapatikana tu katika huduma ya Marekani. Ikiwa unajaribu kufikia kiungo kutoka nje ya Marekani,...

    Full article…
  • Sioni Muziki Wangu katika Huduma za Kutiririsha

    Ikiwa ulitafuta muziki wako katika huduma kwa kutumia jina la kisanii au jina la toleo na bado hukuupata, kuna uwezekano kuwa mojawapo ya yafuatayo limetokea: Huenda muziki wak...

    Full article…
  • Kwa nini "Wasanii Wangu Walioshirikishwa" Wanaonekana Tofauti katika Spotify dhidi ya Apple Music, ikilinganishwa na Huduma Zingine za Utiririshaji?

    Kila huduma ya utiririshaji ina mwongozo wa staili yake--ya jinsi wanavyoonyesha taarifa. Unapopakia muziki kwenye DistroKid, tunaumbiza upya data na kuuwasilisha kivyake kwa k...

    Full article…
  • Toleo Langu Halijatambuliwa katika Spotify/iTunes/Apple Music

    Inaweza kuchukua hadi wiki moja au zaidi kwa upakiaji wako wa kwanza kwenye DistroKid kwenda hewani katika huduma zote za kutiririsha mara tu utakapowasilisha. Kwa maelezo zaidi...

    Full article…
  • Toleo Langu Lilienda Hewani, Lakini Mojawapo ya Nyimbo Haupo/Una Rangi ya Jivu

    Wakati mwingine toleo litaonekana katika huduma za kutiririsha kabla halijachakatwa kikamilifu katika huduma hizo husika, na hivyo vipengele kama vile mchoro au nyimbo vitakosek...

    Full article…
  • Takwimu Zangu Zimetoweka!

    Akaunti za Musician Plus na Ultimate kutoka DistroKid zinakupa ufikiaji wa Takwimu za Kila Siku Zilizokadiriwa kutoka Spotify, Apple Music, iTunes na Amazon. Wakati mwingine, na...

    Full article…
  • Kwa nini Ubora wa Sauti katika Huduma za Kutiririsha Sio Mzuri ikilinganishwa na ule wa sauti Asili Niliyopakia?

    Ikiwa muziki wako unasikika tofauti kwenye huduma ya utiririshaji kama Spotify ikilinganishwa na faili uliyopakia kwa DistroKid, kuna uwezekano mkubwa inatokana na kugandamiza k...

    Full article…
  • Je, Naweza Kubadilisha Jina La Lebo Yangu ya Kurekodi katika Beatport?

    Haiwezekani kubadilisha jina la lebo yako ya kurekodi katika Beatport. Matoleo yote ya Beatport yanayoletwa kupitia DistroKid yanaunganishwa kwenye ukurasa wa lebo ya DistroKid...

    Full article…
  • Herufi Zisizo za Kilatini Zinafanana na Alama za Kuuliza ("??????") ndani ya Amazon

    Kuna tatizo linalojulikana katika tovuti ya Amazon ambalo linawazuia kuonyesha baadhi ya herufi zisizo za Kilatini, kama vile za Kisirili. Amazon inatafuta suluhisho la hali hii...

    Full article…

Didn’t find what you’re looking for?

Contact Us