DistroVid
Kila Kitu DistroVid!
-
Kuidhinisha Video za Muziki Zilizotumwa Spotify kwa ajili ya Marekani.
Video zako za muziki zinaenda hewani kwenye Spotify duniani kote mara tu zinapowasilishwa.Ila Marekani tu. Spotify wanahitaji idhini ya kuchapisha kwa wimbo kabla ya video yako ...
Full article… -
Je, Ninaweza Kutumia DistroVid Bila Usajili wa DistroKid?
Usajili wa kulipia wa DistroKid sio lazima ili kutumia DistroVid. Ikiwa tayari muziki wako umetumwa kwenye huduma kupitia msambazaji tofauti na ungependa kutumia DistroVid kwa v...
Full article… -
Je, Naweza Kuchapisha Video kwenye YouTube?
Ikiwa una video ya muziki ya wimbo wako ambayo ungependa kuingiza kwenye YouTube, unaweza kutumia DistroVid! Kwa kutumia DistroVid, unaweza kutuma video zako za muziki kwa Vevo,...
Full article… -
Kuweka Video Zako za Muziki kwenye Spotify
Kwa kutumia DistroVid, unaweza kuchagua kusambaza video zako za muziki kwenye Spotify.Ili kuweka video yako ya muziki kwenye Spotify, hakikisha unachagua kisanduku cha "Spotify"...
Full article… -
Sioni Video Yangu ya DistroVid kwenye Huduma za Kutiririsha
Iwapo ulitafuta video yako ya DistroVid katika huduma kwa kutumia jina la msanii au jina la toleo na bado hukuipata, kuna uwezekano kuwa mojawapo ya yafuatayo limefanyika: Huend...
Full article… -
DistroVid ni nini?
DistroVid ni huduma ya kusambaza video za Muziki inayotolewa na DistroKid! Tembelea https://distrovid.com ili kuiangalia. Kama msanii wa DistroVid, unaweza kupakia idadi isiyo ...
Full article… -
Inachukua Muda Gani Kwa Video ya DistroVid Kwenda Hewani?
Kwa kawaida, inaweza kuchukua muda wowote kati ya siku 1-5 kwa video za DistroVid kwenda hewani katika huduma pindi tu zitakapochakatwa na kuidhinishwa. Ikiwa video yako ya muzi...
Full article… -
Mahitaji ya Kupakia Video ya Muziki kwa DistroVid
Video zote zinazopakiwa DistroVid lazima zikidhi mahitaji maalum kabla ya kuwasilishwa kwa huduma za kutiririsha. Mahitaji hayo yanajumuisha vigezo vya faili, pamoja na viwango ...
Full article… -
Kuhariri Video Yako Baada ya Kupakiwa kwa DistroVid
Ingawa DistroVid haina kipengele cha "Kuhariri Toleo" kwa wakati huu, tuna furaha zaidi kusaidia kwa baadhi ya maombi ya kuhariri video. Iwapo unahitaji kurekebisha maelezo ya v...
Full article… -
Kubinafsisha Chaneli yako ya Vevo
Vevo haina njia ya wasanii kufikia moja kwa moja chaneli zao za Vevo kwa wakati huu, lakini tuna furaha kusaidia kuwasilisha picha ya mwigo (avatar), picha ya bango na maelezo...
Full article… -
Kwa Nini Video Yangu ya DistroVid Inashindwa Kupakia?
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kufanya upakiaji wa video kufeli, ikiwa ni pamoja na kodeki au aina za faili zisizokubaliwa. Hata hivyo, sababu ya kawaida zaidi ambayo husababisha...
Full article… -
Kuelewa Tofauti Kati ya Chaneli za Vevo na Chaneli Rasmi za Wasanii
Unapotumia DistroVid kusambaza video zako za muziki kwa Vevo, zitaonyesha video zako kwenye YouTube chini ya chaneli yako ya msanii ya Vevo. Chaneli ya msanii mahususi ya Vevo i...
Full article… -
Majina ya Chaneli za Vevo na Kuziunganisha Kupitia DistroVid
Unapopakia video kwenye DistroVid, unaweza kubainisha chaneli ya Vevo iliyopo ili kuiunganisha na video, au utuachie jukumu la kuomba chaneli mpya ya Vevo kwa ajili yako. Kuin...
Full article… -
Je, Ninaweza Kugawanya Mapato kwenye DistroVid Kwa Kutumia Splits?
Hapana, kwa sasa haiwezekani kugawanya mapato ya DistroVid kupitia kipengele chetu cha Mgawanyo. Kwa wakati huu, Mgawanyo unapatikana kwa matoleo ya DistroKid pekee. Unaweza kut...
Full article… -
Je, ninaweza kusambaza Nyimbo za Kava kwenye DistroVid?
Hapana. Hatuwezi kusambaza video za muziki zinazojumuisha nyimbo za kava au vipengele vya nyimbo zingine kwa wakati huu.
Full article… -
Kusambaza Video za Muziki
Unaweza kuwasilisha video zako za muziki kwa huduma kwa kujisajili na DistroVid, huduma ya DistroKid ya kusambaza video za muziki. Nenda pale https://distrovid.com ili kuanza!
Full article… -
Video yangu ilikataliwa, nairekebishaje?
Ikiwa video yako ilikataliwa, utahitaji kuifuta na kupakia upya video yako ili kurekebisha chochote kilicholeta shida wakati wa ukaguzi. Kumbuka, kila duka lina miongozo mahu...
Full article… -
Kuweka Video Yako ya Muziki Kwenye Vevo
Unaweza kuweka video yako ya muziki kwa Vevo kupitia DistroVid! Ili kufanya hivyo, chagua Vevo kama duka kwenye fomu ya kupakia ya DistroVid. Ikiwa tayari una chaneli ya Vevo, ...
Full article… -
Je, naifuta vipi Video yangu ya DistroVid?
Ili kufuta video yoyote ya DistroVid, nenda kwenye kichupo chako cha "Video Zangu". Kisha, bofya ikoni ya kipipa cha taka iliyo upande wa kulia wa ikoni za maduka ili kufuta vid...
Full article… -
Je, nitasitisha vipi usajili wangu wa DistroVid?
Ili kusitisha usajili wako wa DistroVid, tafadhali wasiliana na timu ya usaidizi. Tafadhali kumbuka, ukishasitisha usajili wako kwa DistroVid, video zozote ulizopakia zitaondol...
Full article…