Uchapishaji
Kila kinachohusiana na usimamizi wa DistroKid Publishing.
-
Je, DistroKid Publishing Inafanya Kazi Vipi?
Unaposajili kwa DistroKid Publishing, tunafanya kama msimamizi wako wa uchapishaji.Tunakusanya mirabaha ya utunzi kwa niaba yako, na utaendelea kumiliki hakimiliki yako. Kama ms...
Full article… -
Jinsi ya Kutimiza Mahitaji ya DistroKid Publishing
Kwa sasa, mtunzi wa nyimbo anaweza kutumia DistroKid Publishing kwenye akaunti yake ikiwa mahitaji yafuatayo yametimizwa:Ana nyimbo zisizopungua 5 zilizosambazwa na DistroKidAna...
Full article… -
Je, DistroKid Inakusanya Mirabaha Yangu ya Utunzi wa Nyimbo?
DistroKid wanaweza tu kukusanya mirabaha yako ya utunzi (pia huitwa mirabaha ya utunzi wa nyimbo) ikiwa utajisajili na DistroKid Publishing.Hii ni kwa sababu mirabaha ya utunzi ...
Full article… -
Aina Gani ya Mirabaha Inakusanywa Kupitia DistroKid Publishing?
Kupitia DistroKid Publishing, DistroKid wanakusanya mirabaha inayohusiana na utunzi wa wimbo, ikiwa ni pamoja na ifuatayo: Mirabaha inayotokana na matumizi ya wimbo kidijitali ...
Full article… -
Kuna Tofauti Gani Kati ya Mirabaha ya Kurekodi na Mirabaha ya Utunzi?
Hapa kuna muhtasari rahisi kuhusu mirabaha ya rekodi ya wimbo na mirabaha ya utunzi:Mirahaba ya kurekodi: Pesa kwa ajili ya toleo lililorekodiwa la wimbo wako. Hizi wanalipwa wa...
Full article… -
Je, Mirabaha ya Utunzi Inatofautianaje na Mapato Ninayopata Tayari?
Muziki wako unaposambazwa na DistroKid, na kutiririshwa katika huduma ulikowasilishwa, DistroKid Distribution wanakulipa mirabaha ya rekodi ya sauti. Hii ni mirabaha ambayo watu...
Full article… -
IPI ni nini?
Namba ya IPI Nambari ya (Interested Party Information), ambayo wakati mwingine huitwa nambari ya CAE (Composer, Auteur, and Editeur), ni nambari ya kipekee wanayokabidhiwa watun...
Full article… -
Nimejisajili kwa DistroKid Publishing na Pia Nataka Kujisajili na PRO. Nianzie Wapi?
DistroKid inaweza kusimamia uchapishaji wako ikiwa una uhusiano kama mtunzi wa nyimbo na PRO inayokubaliwa. Unaweza kupata orodha ya PRO zinazokubaliwa na viungo ili kujiunga na...
Full article… -
Je, Ninaweza Kutumia DistroKid Publishing Ikiwa Sina Ushirika na Shirika lolote la Haki za Wasanii (PRO)?
Ndiyo, bado unaweza kuchagua kuingiza nyimbo zako kwenye DistroKid Publishing hata kama tayari hujajihusisha na PRO. Hata hivyo, DistroKid Publishing wanaweza tu kukusanya mgao ...
Full article… -
Je, DistroKid Publishing Inaathiri Umiliki Wangu wa Hakimiliki?
Kutumia DistroKid Publishing hakutaathiri umiliki wako wa hakimiliki. Unapotumia DistroKid Publishing, unaendelea kumiliki 100% ya hakimiliki ya utunzi wako na rekodi yako ya sa...
Full article… -
Je, Mahitaji ya Wimbo Kusajili Kupitia DistroKid Publishing ni Yepi?
Wimbo unapaswa kutimiza mahitaji kadhaa kwanza ili uweze kutumia DistroKid Publishing. Zaidi, aina fulani za kazi za muziki hazikidhi mahitaji ya kusajiliwa kupitia DistroKid Pu...
Full article… -
DistroKid Publishing Watafanya Nini Ikiwa Tayari Nimejihusisha na PRO?
Ikiwa tayari umejisajili na PRO, kuchagua kutumia DistroKid kama msimamizi wako wa uchapishaji bado kunajaza mapengo muhimu. Unapojisajili kwa DistroKid Publishing, DistroKid:Wa...
Full article… -
Je, Bado Ninaweza Kutumia DistroKid Publishing Ikiwa Tayari nina Uhusiano na Shirika lolote la Haki za Wasanii (PRO)?
Ndiyo, bila shaka bado unaweza kutumia DistroKid Publishing ikiwa tayari umejisajili kama mtunzi wa nyimbo kwa PRO inayokubaliwa.Hapa kuna orodha ya PRO wanaokubaliwa kwa sasa, ...
Full article… -
Shirika la Haki za Wasanii (PRO) ni nini?
Shirika la Haki za Wasanii (PRO) hukusanya mirabaha ya kazi zako kwa ajili ya watunzi wa nyimbo na wachapishaji.Mirabaha hii inachumwa wakati wimbo wako: Unachezwa kwenye redio ...
Full article… -
Je, DistroKid Publishing Itapendekeza Muziki Wangu kwa Filamu au Televisheni?
DistroKid Publishing haijumuishi leseni za matumizi kwa kazi za video (sync liscencing).
Full article… -
MLC (Mechanical Licensing Collective) Wamenitaarifu Nikabidhi Kazi Zangu kwa DistroKid. Je, Nifanye Hivyo?
Unaposajili kwa DistroKid Publishing, DistroKid wanakuwa wasimamizi wako wa uchapishaji.Kama msimamizi wako wa uchapishaji, DistroKid watakusanya mirabaha yako kutoka kwa MLC kw...
Full article… -
Nini Kitatokea Nikisitisha DistroKid Publishing?
Iwapo utasitisha huduma ya DistroKid Publishing, DistroKid bado watakusanya mirabaha yoyote ya uchapishaji uliyopata katika kipindi ambacho tulikuwa msimamizi wako wa uchapishaj...
Full article… -
Je, Nitalipwa Mirabaha Yangu Kupitia DistroKid Publishing Kwa Vipindi Vipi?
Unapoanza kutumia DistroKid Publishing, malipo yako ya kwanza ya mrabaha wa uchapishaji yatachukua takriban miezi 6-9. Baada ya hapo, mirabaha ya uchapishaji italipwa kila robo ...
Full article…