Kila kitu Spotify
-
Pakia Muziki Wako kwenye Spotify
Kupakia muziki wako na kupata malipo kutoka Spotify kupitia DistroKid ni rahisi sana. Kwa kweli, sisi ni mmojawapo wa Washirika wanaopendekezwa na Spotify! Kando na kurahisisha...
Full article… -
Je, Napataje URI Zangu za Spotify?
URI yako ya Spotify ni kitambulisho cha kipekee ambacho Spotify humpa kila msanii, albamu na wimbo. Ikiwa unahitaji kupata yako kwa sababu yoyote, fanya yafuatayo! Ikiwa umepaki...
Full article… -
Je, Ninawezaje Kudai Wasifu Wangu wa Spotify for Artists Kabla ya Toleo Langu la Kwanza?
Inawezekana kabisa kudai wasifu wako wa Spotify for Artists kabla ya toleo lako la kwanza kabisa ukitumia jina la msanii ulilochagua. Ili kuhakikisha kuwa una muda wa kutosha wa...
Full article… -
Ninaongeza vipi Msanii Mpya kwenye Akaunti yangu ya Spotify for Artists?
Ili kuongeza Msanii mwingine kwenye akaunti yako ya Spotify for Artists: 1. Ingia kwenye tovuti yako ya Spotify for Artists kwa kutumia kivinjari2. Katika kona ya juu kulia, bo...
Full article… -
Nawezaje Kupata Wasifu wa Msanii wa Spotify Uliothibitishwa?
Kuthibitishwa kwenye Spotify ni rahisi unapotumia DistroKid na huchukua chini ya dakika moja. Ili kuthibitishwa papo hapo kwenye Spotify: Ingia kwenye DistroKid Bofya kwenye M...
Full article… -
Toleo langu la Spotify halipo kwenye Ukurasa Wangu wa Msanii
Kulikuwa na suala ambalo huenda lilizuia toleo lako kuwa kwenye ukurasa sahihi wa msanii. Habari njema ni kwamba kuna suluhisho rahisi! Unaweza kuelekea https://distrokid.com/f...
Full article… -
Spotify Discovery Mode
Kwa maelezo zaidi kuhusu Discovery Mode, bonyeza hapa. Ili ustahiki kutumia Discovery Mode katika Spotify for Artists, ni lazima utimize vigezo vilivyobainishwa vya msanii na vy...
Full article… -
Je, Naingiaje kwenye Orodha ya Nyimbo ya Spotify?
Spotify inawapa wasanii njia rahisi ya kutangaza muziki ili uzingatiwe kwenye orodha ya nyimbo. Ili kuzingatiwa, tarehe yako ya kutolewa ni lazima iwe angalau wiki 3 mbeleni (i...
Full article… -
Kwa nini sioni toleo langu chini ya yajayo katika Spotify?
Ili toleo lako lionekane chini ya yajayo katika Spotify for Artists yako, toleo husika litahitaji kuwa katika mfumo wa Spotify angalau wiki moja kabla ya tarehe ya kutolewa. Tun...
Full article… -
Napataje Mistari yangu kwenye Spotify
Kwenye programu ya Spotify ya simu Bonyeza kwenye "Now Playing View" kwenye wimbo. Unaposikiliza, telezesha kidole juu kutoka chini ya skrini. Utaona mistari ya nyimbo inayoso...
Full article… -
Kwa nini Spotify Inaonyesha Toleo Langu Litatoka Siku Moja Kabla Ilivyotarajiwa?
Synchronized Global Release (SGR) huruhusu kila mtu aliye na Mpango wa Musician Plus au Ultimate kuchagua muda maaulumu wa kutoa katika Spotify. Ukitaka, unaweza hata kuachia...
Full article… -
Spotify Canvas Generator
Kila msanii wa DistroKid ana idhini ya kufikia Spotify for Artists, ikiwa na maana kwamba kila msanii anaweza kufikia kupakia Kanvasi ili kuendandana na muziki wao!Tumetengenez...
Full article… -
Je, DistroKid Inaikubali Spotify Canvas (video zinazojirudiarudia)?
Spotify Canvas inapatikana kiotomatiki kwa wasanii wote wa DistroKid kupitia Spotify kwa Wasanii! 💪Canvas hukuruhusu kuboresha matumizi ya wasikilizaji wako kwa kuonyesha vid...
Full article… -
Gurudumu la Orodha ya Nyimbo
Gurudumu la Orodha ya Nyimbo ni nyenzo ya kufurahisha ya kufanyia promosheni ambayo tuliitengeneza ili kuwapa wasanii fursa ya kufurahisha ya kuwekwa kwenye orodha yetu ya nyim...
Full article… -
DistroKid Spotlight
DistroKid Spotlight ni shindano, kama vile mashindano ya rap au mashindano ya bendi, ambapo nyimbo hushindanishwa na wasikilizaji wanaweza kupigia kura nyimbo wapendazo. Washind...
Full article… -
Nilipokea Notisi ya "Utiririshaji Bandia" kutoka Spotify. Nifanye nini?
Iwapo ulipokea taarifa kuhusu "Utiririshaji Bandia" kutoka kwa Spotify, hiyo inamaanisha kuwa Spotify ilitufahamisha kuwa mitiririko mingi iliyofanywa kwa wimbo wako mmoja au za...
Full article… -
Usiweke Muziki Wako Hatarini
Ujumbe kutoka Spotify: Usiweke Muziki Wako Hatarini Kama mshirika wako unayemwamini, tulitaka kutumia muda huu kukutahadhalisha kuhusu baadhi ya matangazo ya kilaghai ambayo tu...
Full article…