Ripoti za Mapato
-
Je, Nitalipwa Lini na kwa Njia Gani?
Ripoti za mapato na za kutoa mapato zinapatikana pindi DistroKid inapochakata mapato kutoka kwa huduma za utiririshaji na maduka. Huduma huripoti mapato yako kila baada ya miezi 1-2, ripoti hizo zikiwakilisha mitiririsho au mauzo ya miezi michache iliyopita. Kwa kawaida unaweza kutarajia kuona mapato kutoka kwa huduma nyingi takriban miezi 3 baada ya toleo lako kuenda hewani.Baadhi ya huduma zinaweza kuripoti mapato mara chache, kama vile mara moja au mbili kwa mwaka. Kumbuka kwamba huduma haziripoti mapato siku moja, na hazibainishi tarehe za kutoa malipo kwa upande wao.Zaidi, tafadhali ku...
Full article… -
Ni Kiasi Gani cha Mapato Yangu DistroKid Huchukua?
Hakuna! DistroKid haichukui asilimia yoyote kwa kile ambacho maduka hututumia kama mapato yako. Maduka yanapotutumia ripoti za mapato, tunatuma 100% ya mapato unayotengewa moja kwa moja kwenye benki yako ya DistroKid. Tunahisi kuwa hupaswi kutoa asilimia ya mapato yako yatokanayo na mitiririko / mauzo kwa msambazaji wako. Ni wewe ndie uliyechuma hizo pesa na sio wao. Wakati unapotoa pesa, unaweza kutozwa kodi na/au ada husika kutoka kwenye kichakata malipo chetu.* Wakati PEKEE tunaochukua asilimia, ni endapo utachagua kujiunga na huduma yetu hiari "Social Media Pack". Hiyo ndio huduma am...
Full article… -
Je, Huduma za Utiririshaji Hulipa Kiasi Gani kwa Kila Mtiririko?
Viwango vya malipo ambavyo huduma za kutiririsha hulipa havipangwi na DistroKid, na hatuna uwezo wa kuvibadilisha. Tunapitisha tu kiasi halisi ambacho huduma hututumia. DistroKid imekuwa ikipitisha na daima itaendelea kupitisha 100% ya mapato ambayo huduma hututumia kwa mitiririsho/mauzo yako, ukitoa ada za benki/kodi zinazotumika. Kwa nini viwango vya malipo ya utiririshaji hutofautiana? Viwango vya kutiririsha vinatofautiana kwa sababu kuna mambo mengi ambayo huduma hutumia kukokotoa unachostahili kulipwa, na viwango vya kukokotoa vinatofautiana kutoka huduma hadi nyingine. Baadhi ya v...
Full article… -
Nikifuta Toleo, Je, Bado Ninapokea Mapato Yangu?
Ndiyo. Tuseme unaamua kufuta toleo ili lisipatikane kwa sababu yoyote ile. Bado utapokea mapato yoyote ambayo itakuwa umepata wakati muziki wako ulipokuwa hewani kwenye huduma za utiririshaji, hadi pale ulipotoweka. Mapato yataingia kwenye akaunti yako, kutegemeana na ratiba ifuatayo ya kutoa ripoti. Tarajia kusubiri kuanzia wiki 1-2 kwa muziki wako uliofutwa uweze kutoweka kwenye huduma zote za utiririshaji, wakati mwingine hutokea mapema zaidi.
Full article… -
Kutumia Benki ya DistroKid ili Kuona Mapato Yako
Ili kufikia Benki yako ya DistroKid, ingia kwenye DistroKid na ubonyeze "Benki" kwenye bango la juu, au nenda moja kwa moja pale https://distrokid.com/bank. Benki yako ya DistroKid inapatikana ili kukuonyesha jumla ya mapato yako, pesa ulizotoa na jumla ya mapato ambayo umetoa, na ni kiasi gani cha pesa unazodai DistroKid kinaweza kutolewa. Ikiwa ungependa kuona maelezo zaidi kuhusu mapato yako, bofya "Tazama Taarifa Kwa Kina" kwenye ukurasa wako wa Benki ya DistroKid. Sehemu ya Mapato Yako Yote Sehemu ya kwanza ya Benki yako ya DistroKid ni sehemu ya "Mapato Yote". Sehemu hii itaonyesha ...
Full article… -
Kuangalia Ni Mara Ngapi Wimbo Wako Umetiririshwa na Kupakuliwa
Ili kuona jumla ya kutiririshwa na kupakuliwa kwa matoleo yako, ingia kwenye DistroKid na utembelee Benki yako ya DistroKid pale https://distrokid.com/bank kwa kubofya "Benki" kwenye upau wa kuvinjari wa juu. Kisha, bofya kitufe cha samawati kinachosema "TAZAMA MAELEZO KWA KINA". Hii itakuleta kwenye ukurasa wa maelezo ya Benki ambapo unaweza kuona jedwali kadhaa, lakini ile inayoonyesha ni mara ngapi toleo lako limetiririshwa au kupakuliwa ni lile la "KIASI". Kulingana na huduma, jedwali hili la idadi litaonyesha mitiririsho au kupakuliwa/mauzo. Hizi ndizo huduma zinazoripoti kupakuliwa (n...
Full article… -
Mitiririsho na/au Mauzo katika Ukurasa Wako wa Takwimu za Kila Siku Ambayo Haionekani kwenye Taarifa za Mapato
Mipango ya DistroKid ya Musician Plus na Ultimate inatoa ufikiaji wa ukurasa wa Takwimu za kila siku unaoonyesha takwimu za makadirio ya kila siku kutoka Spotify, Apple Music, iTunes, na Amazon. Ni kawaida kwa nambari hizi kutofautiana na taarifa zako za mapato za kila mwezi. Tofauti inakuwepo kwa sababu Takwimu za Kila Siku na taarifa za mapato hutoka sehemu mbili tofauti zinazotolewa na huduma za utiririshaji kwa lebo na wasambazaji kama vile DistroKid. Ripoti za Takwimu za Kila Siku dhidi ya Ripoti za Mapato Takwimu za kila siku Hizo Takwimu za kila siku ambazo tunakuonyesha, zinat...
Full article… -
Kwa nini Baadhi ya Mitiririsho katika Ripoti yangu ya Mapato Inaonyesha Mapato ya Sufuri?
Kuna mambo kadhaa ambayo yanaweza kusababisha hesabu ya mtiririsho kutoka kwa ripoti ya mapato kuonyesha mapato sufuri. Baadhi ya huduma za kutiririsha huenda zisilipe mapato yatokanayo kwa wasikilizaji kwenye mipango ya majaribio au promosheni. Nyingine, kama Spotify, husambaza mapato kulingana na nchi, kumaanisha mitiririsho kutoka kwa wasikilizaji katika nchi ndogo zilizo na watumiaji au matangazo chache yanaweza kulipa chini ya senti moja. Kiasi cha malipo huamuliwa na kila huduma na kinaweza kutofautiana sana. DistroKid hupitisha 100% ya mapato yoyote ambayo huduma za kutiririsha hutu...
Full article… -
Kuhifadhi Taarifa za Mapato Yako kama Faili ya Lahajedwali (Spreadsheet)
Hizi ndizo hatua unazoweza kuchukua ili kuhifadhi taarifa za mapato yako kama faili ya TSV (tab-separated value): Tembelea Benki yako ya DistroKid hapa https://distrokid.com/bank Songa chini kisha bofya "ANGALIA TAARIFA KWA KINA" Bofya kitufe cha Pakua upande wa kulia wa ONYESHA katika sehemu ya juu kulia Hii itakupeleka kwenye ukurasa wa kupakua faili. Ikiwa kuna rekodi chini ya 50,000 za kujumuisha kwenye lahajedwali, faili itachakatwa na kupakuliwa moja kwa moja kutoka kwenye ukurasa. Ikiwa kuna zaidi ya rekodi 50,000 za kujumuisha kwenye lahajedwali, ukurasa utakuruhusu kuweka vichuj...
Full article… -
Kuwaalika Marafiki Zako Kwa Distrokid
DistroKid ina mpango wa rufaa ili kukusaidia kushirikisha DistroKid na marafiki zako, na unapata $10 kila wanapojisajili kupitia kiungo chako cha rufaa! Kuna viungo vitatu vya rufaa vinavyopatikana: DistroKid, DistroVid/Mixea, na rufaa za Wanafunzi. Watu wapya wanaojisajili kwa kutumia kiungo chako cha DistroKid au DistroVid/Mixea wanapokea punguzo la 7% katika mwaka wao wa kwanza. Wanafunzi wanaotumia kiungo chako cha kipekee cha rufaa hupata punguzo la 50% kwa mwaka wao wa kwanza (barua pepe halali ya mwanafunzi inahitajika). Tafadhali kumbuka kuwa mapato yanayotokana na kualika marafiki ...
Full article… -
Mapato ya DistroVid
Unapotumia DistroVid kusambaza video zako za muziki kwa huduma, unapokea 100% ya mapato yanayotumwa na huduma kwa ajili ya video hizo. DistroVid haichukui asilimia yoyote ya kile ambacho maduka yanatutumia kama mapato yako. Maduka yanapotutumia ripoti za mapato ya video zako, tunatuma 100% ya mapato yaliyotengewa kwako moja kwa moja kwenye Benki yako ya DistroKid hapa https://distrokid.com/bank. Ripoti za mapato na malipo zinapatikana kwako pindi tu DistroVid inapopokea na kuchakata mapato kutoka kwa huduma za kutiririsha video. Huduma kwa kawaida hutoa ripoti hizi kila mwezi, na zinaakisi ...
Full article… -
Je, Vevo Hutuma Mapato kwa Kutazamwa kwa Video Zangu za Muziki?
Ndiyo! Mapato ya Vevo yanaripotiwa mara 2-4 kwa mwaka. Kwa mfano, ikiwa tumekutumia ripoti za mapato za Agosti, Vevo inaweza kuwa inaonyesha maelezo ya mapato ya Machi. Kumbuka kwamba huduma zote za utiririshaji haziwasilishi ripoti za mapato kwa wakati mmoja, kwa hivyo unaweza kupokea mapato kwa vipakiwa vyako vya DistroVid kutoka kwa huduma zingine mapema kabla ya kupokea mapato ya Vevo kwa video sawa. Vevo huripoti mapato ya kutazamwa kwa video zako, huku YouTube ikizalisha mapato ya matangazo kutokana na sauti inayotumiwa katika video yako ikiwa umechagua kujiunga na Social Media Pack...
Full article… -
Kupata Bamba la Rekodi la Dhahabu au Platinamu kutoka RIAA
Iwapo unadhani kuwa singo au albamu yako imeuza zaidi ya nakala 500,000 (dhahabu) au nakala 1,000,000 (platinamu) nchini Marekani, au imetiririshwa kwa kiwango sawa, tafadhali tujulishe. Tutathibitisha nambari zako na kufanya kazi na RIAA ili uidhinishwe. Kwa kawaida, inachukua mitiririsho 150 kwenye singo na 1,500 kwenye albamu ili kufikia kipengele kimoja cha mauzo. Kwa madhumuni ya kukokotoa mauzo kwa kuzingatia vinavyochukuliwa kama sawa na kutiririshwa, hivi hapa ni vigezo vya uthibitisho vilivyochapishwa na RIAA. Iwapo umejisajili kwa mpango wetu wa Ultimate, tunaweza kukusaidia kuang...
Full article… -
Kupata Mitiririsho Zaidi kwa Muziki Wako
DistroKid inatoa njia kadhaa za kutangaza muziki wako kama vile HyperFollow, Video Fupi, Kitengeneza Meme Mistari Inayooanishwa na zaidi! Kupendekeza muziki wako kwenye orodha za nyimbo za wahariri katika huduma pia ni jambo linaloweza kukunufaisha - muziki wako kupatikana kwenye orodha za nyimbo za wahariri ni njia nzuri ya kuufanya muziki wako uonekane kwa watu wapya. Kwa habari zaidi juu ya kupendekeza muziki wako kwenye Spotify, angalia nakala hii: https://support.distrokid.com/hc/sw/articles/360052022173. Kwa kupendekeza muziki wako katika Amazon Music for Artists, angalia ukurasa wao ...
Full article…