• Kubadilisha Taarifa za Mawasiliano kwa Akaunti Yako ya DistroKid

    Ili kubadilisha taarifa za mawasiliano zinazohusishwa na akaunti yako ya DistroKid, unaweza kuingia na kutembelea https://distrokid.com/account. Kwenye ukurasa huu, unaweza kubadilisha taarifa zifuatazo za mawasiliano: Anwani ya barua pepe kwenye faili Namba ya simu inayohusiana na akaunti Jina la mmiliki wa akaunti Jina la Biashara (kama linatumika) Anwani ya mmiliki wa akaunti Tafadhali kumbuka kwamba kufanya mabadiliko kwenye taarifa za mawasiliano kutahitaji kuingiza nenosiri la sasa la akaunti ili kuthibitisha mabadiliko.Pamoja na kubadilisha taarifa za mawasiliano, unaweza pia kuchuku...

    Full article…
  • Je, Naweza Kuwaidhinisha Watu Wengine kwenye Akaunti Yangu ya DistroKid?

    Akaunti za DistroKid zimeundwa ili kufikiwa na mtu mmoja, kwa anwani moja ya barua pepe na nenosiri moja. Haiwezekani kutengeneza seti mbili tofauti za taarifa za kuingilia kwa akaunti moja ya DistroKid.Ikiwa ungependa kumwidhinisha mtu mwingine kwenye akaunti yako ya DistroKid, utalazimika kumpa anwani ya barua pepe na nenosiri la akaunti yako. Kwa sababu za kiusalama, DistroKid haipendekezi suala hili.Ikiwa unafanya kazi na washirika kwenye muziki wako na ungependa kuongeza michango au kuwatambulisha kwenye muziki wako au kutengeneza Mgawanyo kwa mapato yako kiotomatiki, hili linaweza kuf...

    Full article…
  • Kubadilisha Namba ya Simu kwenye Akaunti Yako

    Ili kubadilisha namba ya simu kwenye akaunti yako, unaweza kuingia kwenye DistroKid kisha kuelekea kwenye ukurasa wa mipangilio ya akaunti yako kwenye https://distrokid.com/account.Kutoka hapo, unaweza kuingiza namba yako nyingine ya simu chini ya sehemu ya "Namba ya simu." Mara itakapoungizwa, unaweza kushuka chini kwenye ukurasa, ingiza nenosiri lako la DistroKid, kisha bofya "Hifadhi."Kisha utapokea ujumbe wa kuthibitisha kwenye namba mpya ya simu ili kuingiza kwenye DistroKid ili kuthibitisha mabadiliko. Ikiwa hupokei ujumbe baada ya dakika chache, tafadhali rudi kwenye ukurasa wa akaun...

    Full article…
  • Kujisajili kwa kutumia kipengele cha "Hide My Email" cha Apple

    Ikiwa ulijiandikisha kwa DistroKid kwa kutumia kipengele chetu cha Social Sign-In kupitia akaunti yako ya Apple, una chaguo la kuficha anwani yako halisi ya barua pepe, kwa kutumia kipengele cha "Hide My Email".Ikiwa umechagua chaguo hili, anwani ya barua pepe inaundwa na Apple, inayoishia na @privaterelay.apple.com, itakayotumika kwa akaunti yako ya DistroKid.Kisanduku hicho cha anwani ya barua pepe kitapokea barua pepe zote kutoka DistroKid (ikiwa ni pamoja na uthibitishaji wa vipengele 2 na barua pepe za uthibitishaji), na barua pepe hizo zitatumwa kwenye kisanduku chako halisi cha barua...

    Full article…
  • Kubadilisha Nenosiri lako la DistroKid

    Ikiwa hukumbuki nenosiri lako la DistroKid na unahitaji kuweka jingine, unaweza kutumia nyenzo yetu ya kuweka nenosiri upya kutuma barua pepe kwa anwani ya barua pepe inayohusiana na akaunti yako ambayo itakuruhusu kuweka upya nenosiri. Maombi ya Kuweka Upya Nenosiri Hizi hapa chini ni hatua za kuomba barua pepe ya kuweka upya nenosiri ikiwa hukumbuki nenosiri lako la sasa. Hakikisha unaondoka katika akaunti ya DistroKid. (Bofya hapa, au bofya picha yako ya wasifu iliyo upande wa juu kulia, kisha bofya "Ondoka" ili kuondoka kwenye akunti) Nenda pale distrokid.com kisha bofya "Ingia" upande...

    Full article…
  • Kubadilisha Anwani Yako ya Barua Pepe

    Hivi ndivyo jinsi ya kubadili anwani ya barua pepe inayohusiana na akaunti yako ya DistroKid: Ingia kwenye akaunti yako ya DistroKid Bofya kwenye ikoni ya wasifu yako upande wa juu kulia Bofya "Akaunti" Ingiza anwani yako mpya ya barua pepe katika sehemu ya "Barua pepe" Ingiza nenosiri la sasa la akaunti yako mwishoni pa ukurasa, na ubofye "Hifadhi" Ikiwa umesahau anwani ya barua pepe kwenye akaunti yako na huwezi kuingia, tafadhali wasiliana na timu yetu ya usaidizi.

    Full article…
  • Tayari Nimelipa, Lakini DistroKid Inanisihi Nirejeshe Akaunti Yangu

    Ikiwa unajaribu kuingia katika akaunti yako iliyopo ya DistroKid na unaombwa kuchagua mpango unapoingia, basi kuna uwezekano kuwa unaingia kwa kutumia anwani ya barua pepe ambayo ni tofauti na ile iliyopo kwenye faili kwa akaunti yako iliyopo.Mara nyingi hiyo inamaanisha kuwa umejiandikisha kwa kutumia anwani tofauti ya barua pepe, ama kulikuwa na kosa kwa anwani yako ya barua pepe ulipojaribu kuingia. Tafadhali hakikisha kuwa unatumia barua pepe sahihi na ujaribu tena.Iwapo unaingia kwenye DistroKid kwa kutumia akaunti ya mitandao ya kijamii (Apple, Google, Facebook) na hukuwa umeunganisha...

    Full article…
  • Misimbo ya Kuthibitisha kwa Hatua 2 ili Kuingia

    Ili kudumisha kiwango cha juu cha usalama, DistroKid ina mchakato wa kuthibitisha kwa hatua 2 ambao utatuma msimbo wa nambari sita kwa anwani ya barua pepe iliyohifadhiwa kwa akaunti yako ya DistroKid kunapokuwepo na jaribio la kuingia linapofanywa kutoka kwa kifaa kipya au anwani mpya ya IP. Nambari hii lazima iingizwe kwenye skrini ya kuingia ili kufikia.Tafadhali kumbuka kwamba kuthibitisha kwa hatua mbili (2-step authentication) hakuwezi kuzimwa kwa akaunti za DistroKid. Misimbo ya Kuthibitisha Hatua 2 HaijapokelewaIkiwa hupokei barua pepe za kuthibitisha kwa hatua 2, kuna uwezekano kwa...

    Full article…
  • Kuingia kwenye DistroKid Kutumia Akaunti za Mitandao ya Kijamii

    Unaweza kuunda akaunti ya DistroKid na pia kuingia kwa DistroKid kwa kutumia taarifa zako za kuingia katika Google, Apple, au Facebook.   Kujisajili kwenye DistroKid Kutumia Akaunti ya Kijamii Ikiwa ungependa kufungua akaunti ya DistroKid ukitumia taarifa zako za kuingia za Google, Apple, au Facebook, unaweza kubofya kitufe kinachofaa cha "Jisajili na Google/Apple/Facebook" kwenye https://distrokid.com. Mara tu ukibofya mojawapo kati ya vitufe hivi, utaletwa kwenye tovuti tofauti ya kuingia kwenye huduma hiyo. Mara tu unapoingia kwenye huduma hiyo, utarejeshwa kwa DistroKid. Kisha utahitaji...

    Full article…